MISTARI YA WIMBO HUU
Mimi napenda nisikiapo sauti yako boy
Inapoimba masikioni mwangu uh
Nahisi kupata raha
Mimi nahisi nikiwa nawe nitakuwa juu
Aloniacha mwanzo simfati tena
Mimi naomba unipe kumbatio lako oh
Baridi ilokuwepo mwanzo oh, isiwepo tena ah
Mi nahisi ukiwa nami nitakuwa juu
Aloniacha mwanzo simfati tena
Atatamani niwe wake eh (akiniona nipo na wewe)
Eeh akithubutu anifate eh (ukimuona rusha mawe)
Ooh atatamani niwe wake yee (akiniona nipo na wewe)
Aah akithubutu anifate eh (ukimuona rusha mawe)
Eh hee
Mmhh
Aliposema mimi wa kazi gani ii
Wewe uliwaza utanipata lini
Baby tambua hakujua thamani yangu uh
Wewe unaefahamu, naomba unipende

Eh hee (ukimuona rusha mawe)
Mmhh
Atatamani niwe wake eh (akiniona nipo na wewe)
Eeh akithubutu anifate eh (ukimuona rusha mawe)
Ooh atatamani niwe wake yee (akiniona nipo na wewe)
Aah akithubutu anifate eh (ukimuona rusha mawe)
Ah (ukimuona rusha mawe)
Yeeehh
No comments yet