MISTARI YA WIMBO HUU
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Yaani nikikuona tu
Moyo wangu unadunda dunda (kwa uoga)
Mi nakosa raha we mama
Nabaki kama zoba
Siku nikikuona tu
Moyo wangu unadunda dunda eh yah
Nikikuona tu
Moyo wangu unadunda dunda
Mi nakosa raha we mama
We mama
Hey
Mi nakosa raha we mama
Nabaki kama zoba
Unasema nisikuite mama
Eti nikuite honey
We mtu mzima nikuite mi wa kazi gani
Umeniahadi majumba mazuri na magari
Ili mradi uwe nami
Umeniahadi majumba mazuri na magari
Ili mradi uwe nami mimi
Unasema nisikuite mama
Eti nikuite honey
We mtu mzima nikuite mi wa kazi gani
We jimama zima zima mama we eh
Unanifata mimi
Nitaenda kusema kwa mama
Kusema kwa mama
We unanifanya nisisome vyema
Wewe unanifanya niseme kwa mama
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Unajua mi ni mdogo sana
Hata shule sijamaliza baba
Unajua mi ni mdogo sana
Hata shule sijamaliza baba
(Na wewe) si una watoto kama mimi
(Na wewe) si una watoto nyumbani
(Na wewe) si una watoto kama mimi
(Na wewe) si una watoto nyumbani
Yaani nikikuona tu
Moyo wangu unadunda dunda kwa uoga
Mi nakosa raha we baba
Nabaki kama zoba
Siku nikikuona tu
Moyo wangu unadunda dunda
Mi nakosa raha we mama
We mama
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Mi ni mdogo we unajua
Mi ni mdogo we unajua
No comments yet