MISTARI YA WIMBO HUU

Kama ni mapenzi ndio haya
Naona bora nikimbie
Na una sura ya furaha
Iweje leo unibadilikie
Nimechoshwa na vituko na vipigo
Majeraha kila siku mpenzi wako
Kwanini (wee)
Hunithamini

Kama ni mapenzi ndio haya
Naona bora nikimbie
Na una sura ya furaha
Iweje leo unibadilikie
Nimechoshwa na vituko na vipigo
Majeraha kila siku mpenzi wako
Kwanini (wee)
Hunithamini

Ulinifata kwa ukarimu na magoti ukapiga
Ulonayo ukanieleza, jinsi gani unavyoumizwa
Unahitaji kutulizwa na langu penzi ooh

Sikujua kama mwingine unamuhudumia
Ningejua moyoni mwangu nisingekupokea
Ukirudi umelewa na dharau niletea
Nguo zangu nichania, bila kosa mi kujua
Najuta kupenda

Kama ni mapenzi ndio haya
Naona bora nikimbie
Na una sura ya furaha
Iweje leo unibadilikie
Nimechoshwa na vituko na vipigo
Majeraha kila siku mpenzi wako
Kwanini (wee)
Hunithamini

Kama ni mapenzi ndio haya
Naona bora nikimbie
Na una sura ya furaha
Iweje leo unibadilikie
Nimechoshwa na vituko na vipigo
Majeraha kila siku mpenzi wako
Kwanini (wee)
Hunithamini

Ulichoniahidi, sio kile ninachokiona
Na tunavyoishi, si kati ya wale wanaopendana
Neno mapenzi limekuwa chungu mdomoni mwangu (Sasa nalitema)
Neno mapenzi limekuwa chungu mdomoni mwangu (Sasa nalitema)

Sikujua kama mwingine unamuhudumia
Ningejua moyoni mwangu nisingekupokea
Ukirudi umelewa na dharau niletea
Nguo zangu nichania, bila kosa mi kujua
Najuta kupenda

Kama ni mapenzi ndio haya
Naona bora nikimbie
Na una sura ya furaha
Iweje leo unibadilikie
Nimechoshwa na vituko na vipigo
Majeraha kila siku mpenzi wako
Kwanini (wee)
Hunithamini

Kama ni mapenzi ndio haya
Naona bora nikimbie
Na una sura ya furaha
Iweje leo unibadilikie
Nimechoshwa na vituko na vipigo
Majeraha kila siku mpenzi wako
Kwanini (wee)
Hunithamini

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI