MISTARI YA WIMBO HUU

Chura ananesa nesa chura
Chura anaruka ruka chura
Chura ananesa nesa chura
Chura anaruka ruka chura

Jamani chura huyo
Mama chura huyo
Masela chura huyo
Mama chura huyo
Kinondoni chura huyo
Mama chura huyo
Kiwalani chura huyo
Mama chura huyo
Mwananyamala chura huyo
Mama chura huyo
Ilala chura huyo
Mama chura huyo
Mbagala chura huyo
Mama chura huyo
Temeke chura huyo
Mama chura huyo
Manzese chura huyo
Mama chura huyo

Chura ananesa nesa chura
Chura anaruka ruka chura
Chura ananesa nesa chura
Chura anaruka ruka chura

Kama kupenda Snura nishapenda
Sihitaji tena sababu nishatendwa
Nilipe nisepe tuonane kesho
Au kama hutaki fanya mpango uende
Nishachoka haya mapenzi nishachoka
Nishachoka mi kutendwa nishachoka
Yanaumiza moyo
Mapenzi yanaumiza moyo
Masela yanautesa moyo
Mapenzi yanaumiza moyo

Zilaizenzu masomo kisa mapenzi
Zilaizenzu masomo kisa mapenzi
Zilaizenzu masomo kisa mapenzi
Zilaizenzu masomo kisa mapenzi

Akileta mchecheto muache akamatwe
Akileta mchakato acha tumfate
Akileta mchecheto muache akamatwe
Akileta mchakato acha tumfate
Akileta shobo mvute mvute mvute
Tutampa mkong’oto mshike mshike mshike
Akileta shobo mvute mvute mvute
Tutampa mkong’oto mshike mshike mshike

Wanakwambia kama kawa kama dawa eh
Mwele Kimami
Ole wake Tanga na Tausam
Mwambie Mtesi apeleke moja moja
Tunakumbuka sasa zile adhabu za shule
Tunaruka kichura chura

Kichura chura
Ruka kichura chura
Kichura chura
Mtesi kichura chura
Kichura chura
Kina dada kichura chura
Kichura chura
Jirushe kichura chura
Kichura chura
Peleka kichura chura

We DJ Utosi
Tuchezeshe sasa watoto wa uswahilini

Nipo na Sakosi Majanga
Wajela jela nao wanaruka
Waletee katikati walete
Waletee waje wacheze walete
Waletee masela walete
Waletee masista duu walete
Hata ukinuna bakora zinaendelea tu

Kibob Marley
Ruka kibob Marley
Kibob Marley
Tucheze kibob Marley
Kibob Marley
Majita kibob Marley
Kibob Marley
Kina dada kibob Marley
Kibob Marley
Ruka kibob Marley
Kibob Marley

MC Suddy tulia
Chura anapenda kuoga ila sio na sabuni

(Ah B Daddy)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI