MISTARI YA WIMBO HUU

Yeah
You know whats happening when Weusi meets Nahreel, right

Oyayoo…ooohoo
A city in the house
Oyayoo…ooohoo
Lets go

Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere

Kubadili hizi mboga mbili tu tabu kwa mswahili
Mganga hana mashairi jomba ni bure kupiga ramli
Flow Weusi ni mbele, kanzu tobo ka Pele
Mboyoyo mingi kelele, kamata tupa kule
Wajukuu wa Nyerere, chuki zako ni bure
Mkononi ni sime njele, juu sipendi kelele
Mavumba ni baba Fere, Temeke huita michele
Karibu gheto ni sherehe, Weusi hatuna kwere
Nina kibali juu ya mdundo huu so sina sorry(sina sorry)
Sinya soli wapi ishara sina story
Wivu ni kidonda umeshiriki ugua pole
Chakati juu kiki…woo woo
Pole pole

Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere

Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere

Sio gweraa hii jombaa ni kinyuli nyuli
Nilivyovaa, nilivyong’aa ni kimulimuli
Viburi flow Idd Amin ile nduli nduli
Brain kubwa, ndoto kubwa za manguli nguli
Watoto nao ni kibao siku hizi sipigi puli
Usijikombe chonde chonde na makonde bure
Punguza njaa lia ubao jomba kaza msuli
Kwenye hela ndo watoto wanatulia tuli
Benchi mnasugulia ha..hamna career
Ah    mziki kama mbege kwangu suna kulia
Ah    Yesu na Maria    Ah    Ndo tunatulia
Ndo nguna inaliwa, imebarikiwa
Get it

Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere

Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere

Kimbiza kimbiza
Usain Bolt
Tupo center ya mchezo
Centre bolt
Hatuna penta alafu
Weusi mtu tano
Center half no beef..no..no..no
Tulifanya ndafu, mchezo unatupa bread
Mda wa chai ujuzi unasambaza umbea
Mkuda hakai, hatuongei ongei
Tunafanya hatufanyi fanyi, tunafanya kazi
Mungu hakupi roho mbaya
Sshh    Umeipandikiza
Kichwa chako passport, uwezo wako ndo Visa
Aaah
Tuna viburi eeh
Tuna flow vizuriii

Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere

Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Kama unachukia vaa miwani usione gere
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere
Weusi hatuna
Kwere
You just go
Gere

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI