MISTARI YA WIMBO HUU

Naskia hainaga ushemeji tunakula
Naskia hainaga ushemeji tunakulaga
Naskia hainaga ushemeji tunakula
Naskia hainaga ushemeji tunakulaga

Wanangu zamu ya nani leo
Zamu ya Man Fongo
Zamu yako itakuja kesho
Usijali baharia wangu
Zamu ya nani leo
Zamu ya Man Fongo
Zamu yako itakuja kesho
Usinune baharia wangu
Na Meseni kapita
Kimeka kapita na
Tito kapita
Na mpaka B kapita

Man Fongo natamba
Mtaalamu wa kulamba nguo za mitumba
Nitaendelea kutamba
Januari mpaka Disemba
Natamba natamba wewe mwenyewe si unajua
Na kama nyota haing’ai
Chini ya jua
Wanapakazia na maneno wanaponda
Maneno maneno hayanizushii kidonda
Napaka misa na deal za uswazi
Naamini kigodoro hii ndo yangu kazi na
Binadamu bwana
Ukikaa nao hawaishi kukusifia ukiwapa
Kichogo kwa nyuma wanakandia
Kwani bado hujajua na kama unajua
Inabidi kuwazoea
Na kama unajua inabidi kuwazoea

Naskia hainaga ushemeji tunakula
Naskia hainaga ushemeji tunakulaga
Naskia hainaga ushemeji tunakula
Naskia hainaga ushemeji tunakulaga

Wanangu zamu ya nani leo
Zamu ya Man Fongo
Zamu yako itakuja kesho
Usijali baharia wangu
Zamu ya nani leo
Zamu ya Man Fongo
Zamu yako itakuja kesho
Usinune baharia wangu
Na Meseni kapita
Kimeka kapita na
Tito kapita
Na mpaka B kapita

Twende Mensen selekta baba
Dunia ya mungu vitu vya mzungu
Iya banda ndouta bwishaa
Heshima ya kitaa kiroho safi
Wote tupige makofi
Mambo yajimeka ni mitikasi
Wote tuingie kati wacha kupiga mayowe (mama)
Waje waone wenyewe(hai hai)
Wacha kupiga mayowe (humo humo)
Waje waone wenyewe
Mensen shika hapa (mama )
Shika pale
Mensen shika huku(humo humo)
Nishike kule
Mesen gusa hapa (mama)
Nagusa pale(hai hai)
Mwanangu gusa huku
Gusa kule (humo humo)

Naskia hainaga ushemeji tunakula
Naskia hainaga ushemeji tunakulaga
Naskia hainaga ushemeji tunakula
Naskia hainaga ushemeji tunakulaga

Wanangu zamu ya nani leo
Zamu ya Man Fongo
Zamu yako itakuja kesho
Usijali baharia wangu
Zamu ya nani leo
Zamu ya Man Fongo
Zamu yako itakuja kesho
Usinune baharia wangu
Na Meseni kapita
Kimeka kapita na
Tito kapita
Na mpaka B kapita

Washa moto Temeke wanazima moto
Zima moto kinondoni wana washa moto
Ukiwasha moto Ilala wanazima moto
Zima moto Tandale wanawasha moto
Wanangu dawa ya moto moto
Man Fongo moto moto
Ni dawa ya moto moto
G maker moto tena
Dawa ya moto moto
Man Fongo Moto moto
Ni dawa ya moto moto
G maker moto moto

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI