MISTARI YA WIMBO HUU
Saldido
Umeninogesha na mapenzi matamu (Willy Paul)
Umeninogesha babe I don lie (Nandy)
Umeninogesha na mapenzi matamu (Kimambo on the beat)
Umeninogesha babe I cant deny (Pozze)
Bwana mkunaji limemkuta pele (kakololo)
Michezo ya Selina kuchezeana nywele (kakololo)
Mwenzako mapenzi yamenizidia
Ukiniacha ntakufa ntaning’inia
Kwa yako mapenzi nakunywa bia me nilewe (kakololo)
Haleluya utasema haleluya (kakololo)
Haleluya utasema haleluya (kakololo)
Mi ni fundi mwenye slow motion
Matendo yangu slow but kwenye motion
Mi ni fundi mwenye slow motion
Matendo yangu slow but kwenye motion
Mama niteke eeh
Nitekenye ni nicheke
Unasakyuleti mpaka mapepo zangu zinavaporate
Hapo juu babe vabureti mwanzako chini nifanye kama graundsheka
Ehh bwana mkunaji limemkuta pele (kakololo)
Michezo ya Selina kuchezeana nywele (kakololo)
Haleluya utasema haleluya (kakololo)
Haleluya utasema haleluya (kakololo
Mtoto wa uswahilini eh
Nipe mapenzi ya kiswazi
Umeiombea nikakupatia basi mpenzi iwe siri
Umeiombea nikakupatia basi mpenzi iwe siri
Mapigo yatapishana
Chonde
Usije kunatana
Chonde
Tukatoana maana yani wewe(kakololo)
Haleluya utasema haleluya (kakololo)
Haleluya utasema haleluya (kakololo
Wala hunaga woga woga
Navodondosha moja moja
Unavopandaga chuma mboga yani wewe (kakololo)
Mapigo yatapishana
Chonde
Usije kunatana
Chonde
Tukatoana maana yani wewe (kakololo)
Mapigo yatapishana
Usije kunatana
Tukatoana maana yani wewe (kakololo)
Kakololo
Kakololo
Kakololo
Faisal on the mix
Kakololo
Kakololo
No comments yet