MISTARI YA WIMBO HUU

Happy Birthday – Harmonize

Kwanza nina furaha
Nitaimba na kucheza (na kucheza)
Washa mishumaa
Weka keki juu ya meza (juu ya meza)
Oh ila usinicheke
Nimekuletea zawadi
Kidogo nilichobarikiwa
Haki mwana mpweke
Aje na dumu la maji asije akumwagia

Ah na kapicha kao nitakaposti
Wasiokupenda itawakosti
Ah leo siku yako nishajikoki
Tuko rafiki zako tunasema

Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you

Ah sinywagi pombe leo ntalewa
Niwape shonde waliochelewa
Zikinipanda monde nitapepewa
Ah pembe la ng’ombe au malewa
Ila usiforget kusema asante baba na mama
Walokukuza ukakua
Tunakupa na keki kwa wema
Akulinde baba Maulana
Twakuombea na dua

Ah na kapicha kao nitakaposti
Wasiokupenda itawakosti
Ah leo siku yako nishajikoki
Tuko rafiki zako tunasema

Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you

Kata keki kata
Kata
Ooh kata
Kata
Kata unilishe
Keki ya jina lako
Kata
Waoneshe na wenzako
Kata
Tupo kwa ajili yako
Kata
Kata unilishe
Ooh basi kata
Kata
Ooh kata
Kata nikuone
Kata unilishe
Kata
kata
Kata unilishe
Ooh na kapicha kako nitakaposti

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU