MISTARI YA WIMBO HUU

Si tunaishi maisha yetu tena mbele ya macho yao
Wanapoenda kulala ndo wanaishi ndoto zao
Wanachukia jirani zao wanaongea kuhusu mimi
Mi naimba kuhusu wao
Wanakaza nikikaza wanajifanya mafisi
Nawaambia walichoniambia wanakimbilia polisi
Ya know what is this
Watoto wadogo ndo hubebwa kwenye mapaja
Ukileta za kitoto we unatupwa kama haja
My rap so delicious sifanyi collabo na emcees kuwashirikisha
Na-double the struggle collabo na maisha
Siwezi kuwa Yesu maisha haya ntaongopa
Kanunue kazi ingawa elimu umekopa
Ukalale na njaa ikulinde kama unaogopa
Hey babii siku hizi everybody tryna be somebody high
High Mi take you higher

Nakupeleka higher higher higher
Nakuhitaji kwa high
Nakupeleka higher higher higher
Nakuhitaji kwa high
Higher than you never been
Higher you now rocking with the kings
Higher than you never been
Higher you now rocking with the best

Kiunoni una bastola za kupasua hiyo jeans
Kifuani una mabomu ya kulipua mapenzi
You crazy crazy mpaka unaboa
Boxer za machizi unaziachia madoa
Wanazitangaza ndoa kuwadanganya mademu
Siwadanganyi machizi kwamba uhuni ndio game
Nchi ya ahadi sio ghetto ni Jerusalem
Nikiwa mtaani ni ofisi club ni ofisi
Naziandika rhymes kwenye selo za polisi
Tambala bovu kama hauna kitu mamii
Ukishakuwa nazo mbona dunia ni lami
Yaani four plus four mtaani sio eight
Na bado utajiri haupo nyuma ya sketi
Hey babii siku hizi everybody tryna be somebody high
High Mi take you higher

Nakupeleka higher higher higher
Nakuhitaji kwa high
Nakupeleka higher higher higher
Nakuhitaji kwa high
Higher than you never been
Higher you now rocking with the kings
Higher than you never been
Higher you now rocking with the best

She like “napenda kuimba ila sijui pakuanzia”
I’m like “anzia hapa hapo mbele ntakazia”
I’m nice sipendi ficha ficha nyuma ya pazia
Alright tonight we can do whatever you like
In and out up and down all over the night
Mi star naekufanya you don’t need them lights
Mi yule cat huwa na-stand for only one night
Mr J-O-H M-A-K-I-N-I to Kampala UG
Kigali you see Bujumbura TZ
Me run this sip some
Or you wanna pop some
I’m from A City where cannabis is liked
Oh yeah pass me some son what a gwan man
Americo Richmond Hawa Sandii
Join brand hii ya steppa haundii na guarantee (higher)
Raah You now rocking with the best

Nakupeleka higher higher higher
Nakuhitaji kwa high
Nakupeleka higher higher higher
Nakuhitaji kwa high
Higher than you never been
Higher you now rocking with the kings
Higher than you never been
Higher you now rocking with the best

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI