MISTARI YA WIMBO HUU

Sasa nimeshakuwa, nimeshajua kulilinda na penzi
Sikone tena kulia, nimeshatua, raha zako mupenzi
Uziongeze na dua tulilinde na penzi
Ziongezeke pesa pia, niombee kwa Mwenyezi

Nawe darling, upate japo gari
Uwe ng’aring’ari, ujifurahi
Nawe darling, upate japo gari
Uwe ng’aring’ari, ujifurahi

Nikupeleke Hawaii, ukale tende za bohari, ehee
Ukirudi ujidai, nkakufiche Zanzibar, ehee
Nawe darling, upate upepo wa bahari
Uwe ng’aring’ari, ufurahi
Nawe darling, upate upepo wa bahari
Uwe ng’aring’ari, ufurahi

L-O-V-E-Y-O-U
I love you, I love you
L-O-V-E-Y-O-U
I love you, I love you
L-O-V-E-Y-O-U
I love you, I love you
(I love you) I love you
(I love you) I love you
(I love you) I love you
(I love you) I love you

Mepata mpenzi hodari
Mwenye tamu kuzidi asali
Ninaejua kupenda nakusitiri ndani
Kuongeza mwingine sidhani
Japo naruhusiwa na dini
Mazoea matamu usijeniacha honey

Nawe darling, upate japo gari
Uwe ng’aring’ari, ujifurahi
Nawe darling, upate japo gari
Uwe ng’aring’ari, ujifurahi

Nikupeleke Dubai, ufanye shopping ya dolari, ehee
Ukirudi ujidai, nikakufiche Zanzibari, ehee
Nawe darling, upate upepo wa bahari
Uwe ng’aring’ari, ufurahi
Nawe darling, upate upepo wa bahari
Uwe ng’aring’ari, ufurahi

L-O-V-E-Y-O-U
I love you, I love you
L-O-V-E-Y-O-U
I love you, I love you
L-O-V-E-Y-O-U
I love you, I love you
(I love you) I love you
(I love you) I love you
(I love you) I love you
(I love you) I love you
I lo–

I LOVE YOU

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI