MISTARI YA WIMBO HUU

What more can I say
It’s Chillah again
And again and again
Sogea karibu baby
Anhaa

Sogea mpenzi nikueleze
La moyoni nikwambie
Najua una hamu na shahuku ya kutaka kujua
Nataka kukwambia ya kwamba mimi nakupenda
Nataka ulimwengu wote ujue kwamba nakujali

Na dunia ya leo wakweli tupo wawili
Ni mimi na wewe wakweli tupo wawili
Naomba sana uketi unisiize
Naomba baby unisikiize

Najua mpenzi hawataki niwe nawe
Lakini ndio hivyo itabidi wazoee
Najua mpenzi hawataki niwe nawe
Lakini ndio hivyo itabidi wazoee

Wanahoji tunakula nini
Wanahoji tunavaa nini
Tunaishi wapi Buguruni ama Masaki
Wanazeeka kwa umbea
Ya kwetu yanatunyookea
Ya kwao yaenda kombo yaenda mrama ah
Wewe ndo asali wangu wa moyo
Ni vigumu sisi kutengana ni vigumu sisi kutengana
Nitakupenda daima milele eh eeh

Najua mpenzi hawataki niwe nawe
Lakini ndio hivyo itabidi wazoee
Najua mpenzi hawataki niwe nawe
Lakini ndio hivyo itabidi wazoee

Najua hawapendi nikiwa na wewe
Lakini ndio hivyo itabidi wazoee
Wewe ni wangu amenipa Mola
Nami ntakutukuza amenipa Mola
Wewe ni zawadi tosha kwangu mimi
Wewe ni wangu amenipa Mola
Nasema wewe ni wangu amenipa Mola
Yes wewe ni wangu baby amenipa Mola
Amenipa Mola yeah yes yeah

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI