MISTARI YA WIMBO HUU

Sogea (sogea), ringa (ringa)
Jibebishe kisawa sawa
Sogea (sogea), ringa (ringa)
Jibebishe kisawa sawa
My, wambie wakuache
Wasikudanganye hao hao
Wakikusema mbele za watu
Waonekane wabaya hao
Mimi ntalala nje, wewe utalala kwa jirani
Mapenzi kwa fulani, moyoni yataisha thamani
Mimi ntalala nje, wewe utalala kwa jirani
Mapenzi kwa fulani, moyoni yataisha thamani

Niite bwana mapenzi, majungu siwezi
Maneno ya kishenzi sitaki, sikiizi
Kwako sijiwezi, kwingine maradhi
Mi ndo mkwenzi, na nawe ni unazi
Oh wakuache uringe, wakuache utingishe
Kwani mapenzi mazuri nayapata mimi
Kama mbuzi nakuchunga chunga
Wakileta shobo vunga vunga
Usidate na mipunga punga
Jiji hili la madunga dunga hee!

My sweet baby, my lovie oh
Nakupenda mpenzi, hoi mi mwenzio

Sogea (sogea), ringa (ringa)
Jibebishe kisawa sawa
Sogea (sogea), ringa (ringa)
Jibebishe kisawa sawa
Sogea (sogea), ringa (ringa)
Jibebishe kisawa sawa
Sogea (sogea), ringa (ringa)
Jibebishe kisawa sawa
My, wambie wakuache
Wasikudanganye hao hao
Wakikusema mbele za watu
Waonekane wabaya hao
Mimi ntalala nje, wewe utalala kwa jirani
Mapenzi kwa fulani, moyoni yataisha thamani
Mimi ntalala nje, wewe utalala kwa jirani
Mapenzi kwa fulani, moyoni yataisha thamani

Haya nipe basi (nangoja)
Ile michezo yako (nangoja)
Lile tunda zuri (nangoja)
Ambalo tamu sana (nangoja)
Haya nipe basi (nangoja)
Ile michezo yako (nangoja)
Lile tunda zuri (nangoja)
Ambalo tamu sana (nangoja)

My sweet baby, my lovie oh
Nakupenda mpenzi, hoi mi mwenzio

Kama.. kama mbuzi nakuchunga chunga
Wakileta shobo vunga vunga
Usidate na mipunga punga
Jiji hili la madunga dunga hee!

Nangoja, nangoja eh
Nangoja, nangoja eh
Nangoja, nangoja eh
Nangoja, nangoja eh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI