MISTARI YA WIMBO HUU

Kwako naona kama bahati ya kuokota dhahabu chooni, we kaka
Heey, eeh nami Mungu kanipa mke mzuri
Sura hadi rohoni, we dada (abah!)
Basi usiniweke Insta dp
Niweke rohoni, we kaka
Haya, nami usiniweke Facebook
Baby, niweke rohoni, we dada
Tambua uko rohoni mwangu, we kaka
Chako changu, mamii
Ee changu chako, darling
Nikipata (ndo nimepata)
Katujaalia Maanani
Chozi langu darling
(Ndio kilio changu mamii)
Nikipata (nimepata)
Katujalia Maanani

Basi ukinuna ‘je ununa na mie
Ukicheka njoo cheka na mie
Na ukitaka nambie
Sitosita kukupa
Nikwambie nini na..
Ukikosa unashinda na mie
Ukipata unakula na mie
Na ukitaka nambie
Sitosita kukupa, kadada

Kadada
(Kagharama)
Kadada
(Nakupenda sana)
Kadada
(Mi ni wa gharama)
Oh ooh
Kila mmoja ali-wait (ali-wait)
Mpaka na wanoko (na wanoko)
Wazazi wakataka ije supu ya mwali Kilambo
Hukutaka niwe mpweke mpweke iyah, kadada
Kadada wee, kadada iyooh iyee

Kadada
(Kagharama)
Kadada
(Nakupenda sana)
Kadada, we kadada
(Mi ni wa gharama)
Oh ooh

Nahisi zali la mentali kuvutaga bangi ikulu maa
Mbuzi kampenda muuza supu, dagaa kadondoka Kasulu maa
Hey, ah mpaka mabosi wana-change dolari hawakupati ng’oo
Mafundi wanabaki na zana zao na hawakutengenezi ng’oo
Kama bia ndo ishafika baa
Chakula kipo kwa mwenye njaa
Wanga watabaki kwenye paa
Na wakipaa nasi twapaa
Tusafiri mami twende far
Iwe kwa meli na hata motor car
Wakikuita kicheche we usimaindi mi huwa nakuitaga kifaa
Kama bia ndo ishafika baa
Chakula kipo kwa mwenye njaa
Wanga watabaki kwenye paa
Na wakipaa (ma) nasi twapaa (ma)

Basi ukinuna njoo nuna na mie
Ukicheka njoo cheka na mie
Na ukitaka nambie
Sitosita kukupa

Nikwambie nini na..
Ukikosa unashinda na mie
Ukipata unakula na mie

Na ukitaka nambie
Sitosita kukupa, kadada

Kadada
(Kagharama)
Kadada
(Nakupenda sana)
Kadada
(Mi ni wa gharama)
Oh ooh
Kila mmoja ali-wait (ali-wait)
Mpaka na wanoko (na wanoko)
Wazazi wakataka ije supu ya mwali Kilambo
Hukutaka niwe mpweke mpweke iyah, kadada
Kadada wee, kadada iyooh iyee

Kadada
(Kagharama)
Kadada
(Nakupenda sana)
Kadada, we kadada
(Mi ni wa gharama)
Oh ooh
Kila mmoja ali-wait (ali-wait)
Mpaka na wanoko (na wanoko)
Wazazi wakataka ije supu ya mwali Kilambo
Hukutaka niwe mpweke mpweke iyah, kadada
Kadada wee, kadada iyooh iyee

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI