MISTARI YA WIMBO HUU

Mtoto yuko kamili gado
Prof JizzyJizzy
Chali Chali
Prof JizzyJizzy
Chali Chali
Chali Chali

Nakucheki cheki kila kona
Bara mpaka Pwani kote sijakuona
Moyo wangu unauma mie
Japo nikuone mi nitapona
Nimekwenda hospitali
Mbalimbali wanadai dawa yangu ni wewe
We ndo wangu daktari
Sitapona sitaishi tafadhali nielewe
Bado napenda kuishi
Bado nataka kuishi nionee huruma mwenzio
Hey
Nipigwe hata kwa kiss naishi kitatanishi mpaka useme ndio
Hey
Unavyokatikakatika zungushazungusha juu mpaka chini mi ninabaki hoi
Hoi
Unavyotingishatisha binukabinuka back and forth mi ninabaki hoi

Ma
Unang’aa kistaa
Kukuona ni adimu kama nyota ya jah
Ah
Unasifika kila kona mtaa
Njoo kwangu unitibu ili nipone kachaa
Na
Naahidi kukupenda cause nakupenda
Haya mawazo kuwa nitakutenda sitatenda
Twende wote popote unapokwenda
Nakiri mimi mateka na kwako nime’surrende

Mtoto yuko kamili gado
Kamili gado oh
Mtoto yuko kamili gado
Kamili gado oh
Mtoto yuko kamili gado
Kamili kamili
Kamili kamili kamili gado
Mtoto yuko kamili gado
Kamili kamili
Kamili kamili kamili gado

Watu wegi wanishangaa
Kwanini kila siku mi’ sina raha
Afadhali ushinde njaa
Kuliko maisha yako yakose furaha
Wanasema nimechiz wanasema nimenok
Wanasemasema usiku watalala
Njoo karibu nami tuwatoe nishai
Wanoknok tuwatoe kafara
Furaha yangu ni wewe
Maisha yangu ni wewe fikra zangu ni wewe tu
Ndoto yangu ni wewe
Maisha yangu hayana thamani bila wewe tu
Natamani siku moja uwe nami
Kwa furaha na maisha yote
Ili tuende nikutambulishe nyumbani
Kwakuwa una sifa zote
Nikubali uwe wangu mwandani
Siku zote na maisha yote
Mapenzi yetu yachome wapinzani
Daima na milele yote

Anh you’re the one and only
Sina nia ya kuzingua niamini shortie
Usishangae wakinyoosha vidole
Wanadhani uko single wabadili story
We ndio wangu wife material
Uzuri na tabia zinafuta changu kilio
Ado ado mambo bado
Wape kisago mtoto uko kamili gado
Anh

Mtoto yuko kamili gado
Kamili gado oh
Mtoto yuko kamili gado
Kamili gado oh
Mtoto yuko kamili gado
Kamili kamili
Kamili kamili kamili gado
Mtoto yuko kamili gado
Kamili kamili
Kamili kamili kamili gado

Usi-niache mi
Hey usi-niache mi ah
Usi-niache mi
Hey usi-niache mi
Ukiniacha peke yangu na mawazo nakonda
Usi-niache mi
Ukiniacha peke yangu na mawazo nakonda

Mtoto yuko kamili gado
Kamili gado oh
Mtoto yuko kamili gado
Kamili gado oh
Mtoto yuko kamili gado
Kamili kamili
Kamili kamili kamili gado
Mtoto yuko kamili gado
Kamili kamili
Kamili kamili kamili gado

Nakupenda wewe ninakupenda wewe
Nakupenda wewe ninakupenda wewe
Nakupenda wewe ninakupenda wewe
Nakupenda wewe ninakupenda wewe

Kamili kamili
Kamili kamili kamili gado
Kamili kamili
Kamili kamili kamili gado
Kamili kamili
Kamili kamili kamili gado

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI