MISTARI YA WIMBO HUU

Katoto
(Toka Mkubwa Na Wanawe)
Katoto
(Kwa mkubwa Fella, Babu Tale)
Katoto
(Kayumba, Kayumba)
Katoto
(Shirko Kapiten)

Mapigo ya moyo wangu acha yadunde nawe
Machozi ya macho yangu acha yatoke kwako wee
Amani ya moyo wangu unailinda wewe
Furaha, aibu yangu unaijua wewe
Nimekutambulisha kwa bibi
Nimemwambia malonya lonya staki, ntabaki na wewe
Nishakutana na wakaidi
Nimeamua sa kudanganywa basi
Nitatulia na wewe eeh

Kwako nimekuwa bubu, sisemi
Acha waseme wao (waseme wao)
Nimeshakufa kibudu, sihemi
Sisikii ngebe zao

Wanakunyemelea (mende, mende hao)
Waona vyaelea (mende, waende zao)
Wanakunyemelea (mende, mende hao)
Waona vyaelea (mende, waende zao)

Acha lepi waziseme
Hata za mbao ziseme
Hayuni wangu, najua hawanipendi mie acha niwaonyeshe
Najua hawatupendi sie acha tuwaonyeshe
Najua hawanipendi mie acha niwaonyeshe
Najua hawatupendi sie sasa tuwaonyeshe

Waambie hao mapenzi sio mawe, kokote ukayaokota
Waambie hao mapenzi sio mawe, kokote ukayaokota
Wasikufanye bazoka utamu ukiisha wakakutupa
Usimsumbue babu mwenzako nishakaa kwenye chupa
Wasikufanye bazoka utamu ukiisha wakakutupa
Usimsumbue babu mwenzako nishakaa kwenye chupa

Moyo wangu (moyo)
Moyo wangu baby (ah baby aah)
Moyo wangu (moyo)
Moyo wangu mi (oh baby aah) nyang’anyang’a

Acha lepi waziseme
Hata za mbao ziseme
Hayuni wangu, najua hawanipendi mie acha niwaonyeshe
Najua hawatupendi sie acha tuwaonyeshe
Najua hawanipendi mie acha niwaonyeshe
Najua hawatupendi sie sasa tuwaonyeshe

Wanakunyemelea (mende, mende hao)
Waona vyaelea (mende, waende zao)
Wanakunyemelea (mende, mende hao)
Waona vyaelea (mende, waende zao)

Mpenzi nipepee
Mi nna usingizi nataka kulala
Nipepee
Mi nna usingizi nataka kulala

Kama mapenzi ni afya, acha ninenepe
Kama mapenzi ugonjwa, acha niteseke
Kama mapenzi ni afya, acha ninenepe
Kama mapenzi ugonjwa, acha niteseke

Kama mapenzi ni kifo, acheni nizikwe na Site

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI