MISTARI YA WIMBO HUU

Eee iyee
Woo uuhoo
Kifungo huru oo aah
Yeaah!

Nimejikuta moyo wangu umependa
Nimetingishwa ka kibuyu cha mganga
Kama kupenda penda ni ujinga
Basi mimi sihitaji shule kabisa
Muda mwingine najitoa kiakili
Ninawaeleza nyumbani nishapata mwenza
Najipa imani ipo siku sumu yako itageuka asali

Nimechagua jela ya mapenzi kwa sababu (kwa sababu)
Kwa sababu ndipo ilipo furaha yangu (furaha yangu)
Na maumivu unayonipa wala sihesabu
Kwa sababu we uko moyoni mwangu
Nimechagua jela ya mapenzi kwa sababu (kwa sababu)
Kwa sababu ndipo ilipo furaha yangu (furaha yangu)
Na maumivu unayonipa wala sihesabu
Kwa sababu we uko moyoni mwangu

Kifungo huru sikatai
Ila maumivu unayonipa sitokuaga bye bye
Unaposema ‘si saa yetu’
Mi nasikia unasema ‘C Sir I love you’
Kifungo huru sikatai
Ila maumivu unayonipa sitokuaga bye bye
Unaposema ‘si saa yetu’
Mi nasikia unasema ‘C Sir I love you’

Eiyeh ee eeh aa
Woo uhoo oo oo oh aa
Eiiee mama mama maa
Kweli hiki ni kifungo huru!

Madini ni mengi mamaa
Lakini dhahabu ni wewe pekee
Nyota nazo ni nyingi angani
Lakini mbalamwezi ni wewe pekee
Kama wengine ni burger nawe ni tembele
Chaguo langu ni tembele my baby boo
Kama wengine myavuli na wewe ni vua
Chaguo langu ni kuloa tepe tepe
Kama wengine ni burger nawe ni tembele
Chaguo langu ni tembele my baby boo
Kama wengine myavuli na wewe ni vua
Chaguo langu ni kuloa tepe tepe

Nimechagua jela ya mapenzi kwa sababu (kwa sababu)
Kwa sababu ndipo ilipo furaha yangu (furaha yangu)
Na maumivu unayonipa wala sihesabu
Kwa sababu we uko moyoni mwangu
Nimechagua jela ya mapenzi kwa sababu (kwa sababu)
Kwa sababu ndipo ilipo furaha yangu (furaha yangu)
Na maumivu unayonipa wala sihesabu
Kwa sababu we uko moyoni mwangu

Kifungo huru sikatai
Ila maumivu unayonipa sitokuaga bye bye
Unaposema ‘si saa yetu’
Mi nasikia unasema ‘C Sir I love you’
Kifungo huru sikatai
Ila maumivu unayonipa sitokuaga bye bye
Unaposema ‘si saa yetu’
Mi nasikia unasema ‘C Sir I love you’

Wewe mami wewe
Aah aa aa aa aah
Oh ooh mama
Kweli hiki ni kifungo huru

Kama ng’ombe anavumilia mijeredi
Lakini hachoki kutoa maziwa
Ndivyo moyo wangu unapata raha
Unapata raha kwenye hii jela ya mapenzi
Kama ng’ombe anavumilia mijeredi
Lakini hachoki kutoa maziwa
Ndivyo moyo wangu unapata raha
Unapata raha kwenye hii jela ya mapenzi

Kifungo huru
Sikatai
Kifungo huru
Nimechagua
Kifungo huru, kifungo huru, kifungo huru

Kifungo huru sikatai (sikatai mamaa)
Ila maumivu unayonipa sitokuaga bye bye
Unaposema ‘si saa yetu’
Mi nasikia unasema ‘C Sir I love you’
Kifungo huru sikatai (sikatai mamaa)
Ila maumivu unayonipa sitokuaga bye bye
Unaposema ‘si saa yetu’
Mi nasikia unasema ‘C Sir I love you’

Aaah yeeih aahh
C Sir, C Sir Madini
Tetemesha

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI