MISTARI YA WIMBO HUU

Chali in the house
Zilla in the house
Nigger dont be mad man
Ts classic
Za cha
Zilla in the house
Salasala in the house

Success zimekuja kwa potential
Mi ni boss still naishi ghetto
Am soo hood bado na sell kush
Mi ni hustler man kila ride mi leo napush
Nabadilika sana cause am the best
Walifikiri nimekufa baada ya accident
Kila ninachopata weka kwenye memory
Baada ya miaka 10 I can write history
Niko deep sana kwenye mentally
Wanaombea hata nipate supplimentary
Now take a glass make a toss
(now whip ur hair back and forth 2)
Man macochali mama Zilla I appreciate
Mmeniambia no tungi no ciggaret
Get off ma way nasikiliza kwenye ride
Natoka zangu town naelekea west side

Jinsi ilivyo
Watu wanakaa
King Zilla Zilla ni balaa
Every body knows
Zilla ni balaa
Kwenye game ye ni big change
Jinsi ilivyo
Watu wanakaa
King Zilla Zilla ni balaa
Every body knows
Zilla ni balaa
Kwenye game ye ni big change

Baada ya kudondosha swaga now the game is mine
Wanashangaa kuona kwamba life is on the line
Nadondosha style kama buster flip mode
Kila baada ya dakika 3 new dresscode
Nacheka kwa dharau life is simple
Napiga deal na Wachina Puerto Rico
Nachange gear morogoro 1 hr
Kwasababu right now nigger I got power
Collable za kutosha napiga nonstop
See a made it man now am on top
Flow ziko deep kutoka kwenye blood
Na huwezi kunizuia its really really hard
Nigger I keep it gangstar hard to the core
Ur brains nablow with ma fow fow
Flow ziki tight zina sound nicely
Ladies wanasema Zilla we love ur voice

Mi ni gangster ninja
I told ya
Am general salutly soldier
Mi ni gangster ninja
I told ya
Am general salutly soldier
Mi ni gangster ninja
I told ya
Am general salutly soldier
Mi ni gangster ninja
I told ya
Am general salutly soldier

Jinsi ilivyo
Watu wanakaa
King Zilla Zilla ni balaa
Every body knows
Zilla ni balaa
Kwenye game ye ni big change
Jinsi ilivyo
Watu wanakaa
King Zilla Zilla ni balaa
Every body knows
Zilla ni balaa
Kwenye game ye ni big change

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI