MISTARI YA WIMBO HUU

Utaambiwa sina mapenzi (uuh c’mon)
Utaambiwa sina mapenzi utaambiwa si mwaminifu mimi
Utaambiwa sina ubinadamu kwenye mapenziiii
utaambiwa sina muhimu kwako
Style yangu si kuoa ni kucheat mademu si kweli mpenzi
Utaambiwa sina mapenzi ooh

Jitahidi mpenzi kuwa na subira
Jitahidi mpenzi kuwa na maamuzi
Juu ya penzi lenye pendo letu

Ebu chukua maamuzi we mjuzi mkufunzi
acha hizo ni makuzi upuuzi
Jinsi naishi ni kama star kwenye muv
Tumeshashare vingi ukikataa ni mzushi
Tukae chini hili balaa ni uvumi
Chuki tuliikataa inayumbisha hadi uchumi
Ebu kumbuka furaha na vitu vya msingi
Madai na majigambo vita huyumbisha ligi

Utaambiwa nipo tu hapa mtaani nagangaa tu njaa
Utaambiwa me mhuni sina klazi mama
Kila nachopanga nachofanya juu yako mpenzi
nachofanya juu Kila nachopanga
Jitahidi mpenzi kuwa na subira
Jitahidi mpenzi kuwa na maamuzi
Juu ya penzi lenye pendo letu

Maujanja Saplayaz
Nasisitiza msimamo usiumbishwe na maneno
watu wengine wanaongea midomo yao michafu
Ukanihukumu ukaniona kama mi mkavu
Na malengo juu yako mimi si mpumbavu
Upendo wa dhati sitaonyesha dharau
Sikudanganyi hii nataka ufahamu
Mapenzi ya kweli jua uongo ni hatari
Wacha tuwe na amani ya watu achana nayo

Wayo wayo
Jitahidi mpenzi (c’mon ishi na mimi)
Juu yako
Jitahidi mpenzi kuwa na subira
Jitahidi mpenzi kuwa na maamuzi
Juu ya penzi lenye pendo letu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI