MISTARI YA WIMBO HUU
Najua kama umelala na huwezi amka (wewe, wewe)
Ila kufumba kwako macho
Kusinifanye nami nikufumbe kwenye moyo wangu mmh mh
Najua kama umelala na huwezi amka (wewe, wewe)
Ila kufumba kwako macho
Kusinifanye nami nikufumbe kwenye moyo wangu mmh mh
Furaha yangu mimi kulia
Mpaka nahisi duniani kama naonewa
I’m a single lady nimebakia
Yule niliompenda kachukuliwa
Lonely, lonely nimebakia
Nusu ya moyo wangu imeteuliwa
Muda wote mpweke huku nalia
Mpaka nahisi namkufuru Mungu kwenye duniaaa aah aa

Nililia machozi nilipoambiwa haupo na mie
Malaika naomba simama mpokee na mshangilie
Nimezongwa na upweke unaofanya nikukumbuke
Picha yako usoni inanifanya chozi linitoke
Mmhh mmh mhh
Nashindwa kulala haja ya moyo wangu naijua
Machozi hayaniishi homa ya mapenzi naugua
Nashindwa kulala haja ya moyo wangu naijua
Machozi hayaniishi homa ya mapenzi naugua
Uuuh uuuuhh
Furaha yangu mimi kulia
Mpaka nahisi duniani kama naonewa
I’m a single lady nimebakia
Yule niliompenda kachukuliwa
Lonely, lonely nimebakia
Nusu ya moyo wangu imeteuliwa
Muda wote mpweke huku nalia
Mpaka nahisi namkufuru Mungu kwenye duniaaa aah aa
Furaha yangu mimi kulia
Mpaka nahisi duniani kama naonewa
I’m a single lady nimebakia
Yule niliompenda kachukuliwa
Lonely, lonely nimebakia
Nusu ya moyo wangu imeteuliwa
Muda wote mpweke huku nalia
Mpaka nahisi namkufuru Mungu kwenye duniaaa aah aa
Nashindwa kulala haja ya moyo wangu naijua
Machozi hayaniishi homa ya mapenzi naugua
Nashindwa kulala haja ya moyo wangu naijua
Machozi hayaniishi homa ya mapenzi naugua
Uuuh uuuuhh
Furaha yangu mimi kulia
Mpaka nahisi duniani kama naonewa
I’m a single lady nimebakia
Yule niliompenda kachukuliwa
Lonely, lonely nimebakia
Nusu ya moyo wangu imeteuliwa
Muda wote mpweke huku nalia
Mpaka nahisi namkufuru Mungu kwenye duniaaa aah aa
Furaha yangu mimi kulia
Mpaka nahisi duniani kama naonewa
I’m a single lady nimebakia
Yule niliompenda kachukuliwa
Lonely, lonely nimebakia
Nusu ya moyo wangu imeteuliwa
Muda wote mpweke huku nalia
Mpaka nahisi namkufuru Mungu kwenye duniaaa aah aa
No comments yet