MISTARI YA WIMBO HUU

Oh rafiki si unajuanga ridhiki
Leo kwangu kesho kwako tunachinjiana kivipi
Ila we mnafiki kwenye shida ulini-sh*t
Nlifanya kazi fanya kazi u-star ukazidi
We unadhani nafanya hobby for you
Mi negative black and white naingoja day new
Watu wanasema kunihusu nani we say boo
Say tu kweli unafanya mto uwe safe
Sura utaificha nakuhofia matendo wapi ficha
Na kumwaga kwako course sioni wapi future
Sio ni kasi mbio sioni kazi
Rafiki sio yule anaebana bana ni muwazi
Mi nakuchana leo

Unaniumba na mapendo sana Mungu wangu
Sijaumbwa kukaa na chochote moyoni mwangu
Mi nakuchana leo
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Mi nakuchana leo
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Mi nakuchana leo
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Oh oo ooh
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Mi nakuchana leo

Eh Nilishasikiaga mengi
Nkasema I don’t give a f*ck maana ntachukia wengi
Ntanguna kwa maneno tumelaaniwa neno
Rafiki or ndugu huviziana hawana tena meno
Mi sina ngoja ngoja ukikosea inakuhusu aihu
Kama si rafiki nakuchapa miguu
Na si unajuanga tulikotoka joh me and you
So nani kati yangu na wewe mwenye low price
Wanakosea lakini ni ngumu ku-apologize
Wanok wambea wako na big eyes
Kwenye kapu kwenye njaa wanaku-critisize
Mi na mama Kendrick tunachapa miles
Nasema oh rafiki si unajuanga ridhiki
Leo kwangu kesho kwako tunachinjiana kivipi
Ila we mnafiki kwenye shida ulini-sh*t
Nlifanya kazi fanya kazi u-star ukazidi
Mi nakuchana leo

Unaniumba na mapendo sana Mungu wangu
Sijaumbwa kukaa na chochote moyoni mwangu
Mi nakuchana leo
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Mi nakuchana leo
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Mi nakuchana leo
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Oh oo ooh
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Mi nakuchana leo

Mwanamke akipewa uzuri akinyimwa akili
Kitachoumia ni sehemu za siri
Mimi nakuchana leo
Mi niko nduki mi simkatili Eminem kamili
Heyo mi msafiri
Mimi nakuchana leo
Neno langu mlo kamilifu
Hatuwezi kuwa na deal yenye trust ka we ni thief
Mi ni toothpick kwenye meno ka we ni beef
Man to man ili tujenge ni uaminifu
Naziba masikio ukianza kunleta ushindani okay basi ndio
Mi sibishani ukianza tu perepere mbio
Kedekede na mambo tu mikerekere mbio
Oh rafiki si unajuanga ridhiki
Leo kwangu kesho kwako tunachinjiana kivipi
Ila we mnafiki kwenye shida ulini-sh*t
Nlifanya kazi fanya kazi u-star ukazidi
Mi nakuchana leo

Unaniumba na mapendo sana Mungu wangu
Sijaumbwa kukaa na chochote moyoni mwangu
Mi nakuchana leo
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Mi nakuchana leo
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Mi nakuchana leo
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Oh oo ooh
(Macho kwa macho macho kwa macho)
Mi nakuchana leo

Oh rafiki si unajuanga ridhiki
Leo kwangu kesho kwako tunachuniana kivipi
Ila wewe mnafiki kwenye shida ulini-sh*t
Nlifanya kazi fanya kazi u-star ukazidi
Mi–
Oh rafiki si unajuanga ridhiki
Leo kwangu kesho kwako tunachuniana kivipi
Oh rafiki kwenye shida ulini-sh*t
Fanya kazi fanya kazi u-star ukazidi
Mi nakuchana leo

Macho kwa macho macho kwa macho
Macho kwa macho macho kwa macho
Macho kwa macho macho kwa macho
Macho kwa macho macho kwa macho

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI