MISTARI YA WIMBO HUU

Kama shamba nililima we ndo vuno nakuvuna
Sipangiwi sichuniwi sinuniwi
Mie sichoi peptu moyo umekutunuku
Tulishi kwa buku haya
Mie kwako zumbukuku kusema nathubutu
Siwezi kukuacha nakupenda
Malava

We ni dawa mi kidonda
Nikiumia wanikonja
Sihofii mimi kukonda you’re my strawberry
Upendo ninao shida sina naomba nipepee
Nitalea watoto kila uzazi wako na mie

Sikupambi kwa noti wangu wa dhati
Nikuvae shingoni kama kidani
I go baby baby sweet malava
Nipeti peti nikikohoa nimefika
I go baby baby sweet malava
Nipeti peti nikikohoa nimefika

Shida yako iwe yangu mwanamama
Chozi lako liwe langu
Shida yako ndio yangu mwanamama
Cheko lako tabasamu langu kichuna
Nipende mrembo mi sikuhongi mjengo
Na stori za magendo ili waharibu mwenendo
Mie sichoi peptu moyo umekutunuku
Tulishi kwa buku haya
Mie kwako zumbukuku kusema nathubutu
Siwezi kukuacha nakupenda
Malava

Sikupambi kwa noti wangu wa dhati
Nikuvae shingoni kama kidani
I go baby baby sweet malava
Nipeti peti nikikohoa nimefika
I go baby baby sweet malava
Nipeti peti nikikohoa nimefika

Ayaya sweet malava
Ayaya sweet malava
Ayaya sweet malava
Ayaya sweet malava
Ayaya sweet malava
Ayaya sweet malava

Ayaya sweet malava
Ayaya sweet malava
Ayaya sweet malava
Ayaya sweet malava
Ayaya sweet malava
Ayaya sweet malava

Sikupambi kwa noti wangu wa dhati
Nikuvae shingoni kama kidani
I go baby baby sweet malava
Nipeti peti nikikohoa nimefika
I go baby baby sweet malava
Nipeti peti nikikohoa nimefika

I go baby baby sweet malava
Nipeti peti nikikohoa nimefika
I go baby baby sweet malava
Nipeti peti nikikohoa nimefika

Sweet malava ayaya
Sweet malava ayaya
Sweet malava ayaya
Sweet malava ayaya

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU