MISTARI YA WIMBO HUU
Kwetu uchapakazi na umahiri
Tunatupilia mbali hofu, haikwamishi
Kwetu uchapakazi na umahiri
Tunatupilia mbali hofu, haikwamishi
Twaendelea na kazi kwa ujasiri
Na inatupa thamani inayostahili
Malikia wangu wa nguvu
Tujitume zaidi
Malikia mwenzangu wa nguvu
Tuendelee
Malikia wangu wa nguvu
Tujitume zaidi
Malikia mwenzangu wa nguvu
Twende mbele
Malikia mwenzangu wa nguvu
Jasiri
Mchapakazi, mbunifu
Jasiri
Malikia mwenzangu wa nguvu
Jasiri
Mchapakazi, mbunifu
Jasiri
Kujiamini ndo zetu, hofu sio mpango
Nguvu kwenye kazi tena za viwango
Malikia wangu wa nguvu
Tuendelee eh
Malikia mwenzangu wa nguvu
Tujitume zaidi
Malikia wangu wa nguvu
Twende mbele, twende mbele
Malikia mwenzangu wa nguvu
Tufanikiwe zaidi
Malikia mwenzangu wa nguvu
Jasiri
Mchapakazi, mbunifu
Jasiri
Malikia mwenzangu wa nguvu
Jasiri
Mchapakazi, mbunifu
Jasiri
Kwa ujasiri, tujitume zaidi
Malikia mwenzangu wa nguvu
Jasiri
Mchapakazi, mbunifu
Jasiri
Malikia mwenzangu wa nguvu
Jasiri
Mchapakazi, mbunifu
Jasiri
No comments yet