MISTARI YA WIMBO HUU

Huamini miujiza mchumba
Sauti ya nyuki inasikika
Sogea karibu baby
Time zishafika
Unipe uhuru dear
Ni-kiss napotoka
Toka mlimani dear
Niwe free ndani ya kopa
Penzi kwa fujo my boo
Moyo wangu ushauteka
Raha ya Afrika RTD
Mi ndo heweni nasikika
Hivi kwanini dear
Moyo wangu unautesa
Hivi ushoboki dear
Inavyonipenda East Africa

Iii iih dear
I need you dear
Wo wowo dear
I love you my baby

Haya mapenzi ni kitu gani
Muda nawaza mpaka nimechoka
Vile Dogg mimi najina
Mashori wengi tu wanashoboka
Nayempenda mimi hanipendi
Nachotaka kwake mi spati
Kukataa mpenzi una haki
Nami kumuacha moyo hautaki

Naamini wenye tamaa ni wengi
Wachache wanajua kupenda
Mi nakupenda we kwa moyo
Ukiniacha mi nitakonda

Company yetu wote makachaa
Kuhusu mabitozi hakuna kabisa
Ji-mix na ma gang, baby upate raha
Oh nakonda kabisa

Wazuri kibao wananipenda
Siwajali mimi nawatesta
Cha ajabu yule wangu wa moyo
Ndio hanitaki kabisa

Company yetu wote makachaa
Kuhusu mabitozi hakuna kabisa
Ji-mix na ma gang, baby upate raha
Oh nakonda kabisa

Mwambieni mi ka ntakufa
Kifo changu amesababisha
Simlazimishi ye kunipenda
Ila mwambieni ananikondesha
Nampenda mpenzi mi kachaa
Nsipomuona Dogg sina raha
Mwambieni wangu sinyora
Iii iihii nampenda

Iii iih dear
I need you dear
Wo wowo dear
I love you my baby
Iii iih dear
I need you dear
Wo wowo dear
I love you my baby

Haya mapenzi ni kitu gani
Muda nawaza mpaka nimechoka
Vile Dogg mimi najina
Mashori wengi tu wanashoboka
Nayempenda mimi hanipendi
Nachotaka kwake mi spati
Kukataa mpenzi una haki
Nami kumuacha moyo hautaki

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU