MISTARI YA WIMBO HUU

Enhee
This is Barnaba Boy Classic
And you love me, and I love you too, baby
Once again enhee

Haijalishi huko nyuma nishamfanyia mangapi
Haijalishi, huyu ndo ndo wangu wa moyoni milele simuachi
Naomba baba yabariki mahusiano yangu leo
Kwa kumpenda nimempandisha cheo
Huko nyuma nishafanya mengi mengi kibao
Mmnh vigeregere ndo vilie sana leo
Wenye husda zao wabaki makwao
Nikumbate tukomeshe roho mbaya zao

Oohuu
Nakuombea Mola aah
Akupe na uzima aah
Akulinde sana aah
Ukiumwa inshaallah ah
Najiombea Mola aah
Anipe na uzima aaha
Akulinde sana aah
Nakupenda sana aah

Twawezaset mipango, ili tutimize jambo leo
Kipenzi funga macho, nikuoneshe kile ambacho
Utapenda
Baby, I feel me, I wanna marry you
Will you marry me Ohoo
I wanna marry you ohhoo
Will you marry me Iihii

Marry you jana na kesho
Sherehe yetu kila leo
Hata nikikuudhi kwa chat
I’m sorry yangu naisema kwa dhati
Bahari yetu nyekundu (eeyee yee)
Tuogelee wenyewe (eeyee yee)
Ya bluu ya walimwengu (eeyee yee)
Tukae tu kama mwelee

Machozi yako ya furaha
Niyakinge kwa mikono yangu mpenzi
Niyarushe kama manukato
Tubaki twanukia harufu ya mapenzi
Siku nyingine nikuulize tena
Unijibu tena na unijibu tena
Will you marry me
I will marry you, of course baby I wanna marry you
Ilaa

Nakuombea Mola (eeyee yee)
Akulinde sana (eeyee yee)
Akupe na uzima (eeyee yee)
Nakupenda sana
Najiombea Mola (eeyee yee)
Anipe na uzima (eeyee yee)
Akulinde sana (eeyee yee)
Nakupenda sana

Twawezaset mipango, ili tutimize jambo leo
Kipenzi funga macho, nikuoneshe kile ambacho
Utapenda
Baby, I feel me, I wanna marry you
Will you marry me Ohoo
I wanna marry you ohhoo
Will you marry me Iihii

Mademu wanasubiri mama Kheri akiniacha
Mi nasubiri baada ya Kheri anizalie mapacha
Penzi la kitajiri zaidi ya mali za Bakhresa
Hii wala sio siri nimempata bila pesa
Tangu tuko watoto, penzi moto moto
Tumepitia changamoto, baridi na joto
Tangu tuko ghetto, tunakula msoto
Mpaka leo yuko nyumbani kazi tu kulea watoto
Nampa sifa na sifa zinamfikia
Ye ni queen ka Latifah unaweza muita malkia
Maduu wanapiga vita kuona mzee nimetulia
Barnaba piga gita em tuteke hizo hisia

Nimesalia na mengi moyoni
Ya nyuma siyaoni, we ndo furaha yangu eeh
We kwangu kama peponi, penzi lako hayawani mlimiti mnh mh

Nakuombea Mola aah
Akupe na uzima aah
Akulinde sana aah
Ukiumwa inshaallah ah
Najiombea Mola aah
Anipe na uzima aah
Akulinde sana aah
Nakupenda sana aah

Twawezaset mipango, ili tutimize jambo leo
Kipenzi funga macho, nikuoneshe kile ambacho
Utapenda
Baby, I feel me, I wanna marry you
Will you marry me Ohoo
I wanna marry you ohhoo
Will you marry me Iihii

hahahah Gabelino Classic
Imma TheImmaImma The Boy

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI