MISTARI YA WIMBO HUU

Eeh ee eee
Show me your black bandana
Eeh show me your black bandana
Eeh (Tongwe Records baby)

Mi sio politician emcee ufisadi tu kila punch
Hata hizi na-guarantee rhymes zangu are tempted to touch
Nawazidi kwa IQ shahidi Fareed Kubanda
Vipi uncle baba Tunda Sele na Juma Mchopanga
Hii sio hadithi ya Chinua Achebe na Sakayonsa
Wanasifu bata kwa tempo za kwasa kwasa
Walioacha tizi wakaoa kama Mrisho Ngasa
Mi nakomba pesa zote nasepa kama Lowassa
Shaa
Wao nimewashusha Bamaga
Hip hop ina wigo mpana usiseme tu ipo Arachuga
Ngaramtoni was my hood Mchomvu skia hizi swagger
Walaini kama mafuta nawanyonya kama Lady Gaga
J ryder nyonga beat kama kiuno cha Yondo Sista
Mi ndiyo mtoto wa Jakaya hadi ikulu napiga chata
Kahuna utata mbaratata nasimama mpaka BASATA
Vaa Gucci vaa Supra na show nakufunga super
Wame-panic yeye na kaka yake wakakimbia back stage
Game is under control nazidi fungua new page
Episode mpya naendeleza hizi scenario
All eyes on me ’cause I run this show
J Murder the big boss I’m proud of you
Kama hii track imeku-touch kidole cha mwisho juu

Put your hands up eeh
Kidole cha mwisho juu
Put your hands up eeh
Kidole cha mwisho juu
Put your hands up eeh
Kidole cha mwisho juu

Wapi unakwenda
Hebu njoo na put your hands up
Hapana kukaa man come on stand up
Mtambo wee aah hahaha danger
Hii ngoma kali mwenyewe naipenda naila denda
Vipi najitega kama duka la mpemba
Rusha mikono man rusha na miguu ukipenda
Mkanda ukikatika mi nipo suspender
I like the way wakija I like the way hata wakienda
Hata wakivaa khanga bado wananibamba
Nakuwa mkubwa kama kidole kidole gumba
Kamwili kembamba ila mi ni namba
Niki mh mh mh mshamba
Muulize Arnold Mwadale komando mwamba
Yoh men wassup Come on hands up
Mi wa kigambo nikiwagamba shgenda
No usiondoke come back put your hands up

Usi haa usi mh mmh minoko juu
No men nimechapia mikono juu
Put your hands up eeh
Kidole cha mwisho juu
Put your hands up eeh
Kidole cha mwisho juu
Usi haa usi mh mmh minoko juu
No men nimechapia mikono juu
Put your hands up eeh
Kidole cha mwisho juu
Put your hands up eeh
Kidole cha mwisho juu

Eti anajiita nguli sishindani na mdoli
Kote utapita ila kwangu kigoma mwisho wa reli
Back stage mnavuta sssh Mi nasali rozali
That’s what’s up Kwenye show mi nawaficha hii ni hatari
Skia bro I’m XXL try some more
What’s up bro unataka battle na mi niaje joh
Hii ni game ya ugenini siwezi kutoa draw
Dakika 90 chalii wapinzani wapo slow moo
Wanabebwa na media power soon tu wata expire
Mi mbabe kama John Cena ukinizingua navunja taya
Mi ni mzawa nawa-torture kama Jack Bauer
Man Hip Hop haiuzi Aah wapi you’re a liar
Ndio nyie mnabishana nani ameanzisha viduku
Maisha yenu mafupi dizaini ya umeme wa luku
Mnatoka Septemba November mmeshachuja
Nyoosha mikono juu kama wewe ni soldier

Usi haa usi mh mmh minoko juu
No men nimechapia mikono juu
Put your hands up eeh
Kidole cha mwisho juu
Put your hands up eeh
Kidole cha mwisho juu
Usi haa usi mh mmh minoko juu
No men nimechapia mikono juu
Put your hands up eeh
Kidole cha mwisho juu
Put your hands up eeh
Kidole cha mwisho juu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU