MISTARI YA WIMBO HUU

I just wanna stay like Kilimanjaro mountain
Sinoni Daraja Mbili
I just wanna stay like Kilimanjaro mountain
Arusha
Aah I just wanna stay like Kilimanjaro mountain
Tanzania baby
Aah I just wanna stay like Kilimanjaro mountain
Africa ah I’m African

I just wanna stay kama Kilimanjaro
Pale Moshi, na kama bado haitoshi
Kuwa nawe ni kama nimekita juu ya dunia
Siku za furaha ni chache, maisha ya mtanzania
Kitaa, we ndo rafiki wa karibu ninaekuzimia
Hatuachani hata kama hawapendi
Live nakupa kitambo kabla ya hizi band
Flow Joh millionea juu ya beat nazi-spend
To the limit, bado nai-push
Nakupenda sikupi bullsh*t, classic material
Kila nikija na new sh*t, zinajipa jipa jipachika
Kwani hiki ndo Mungu alichonipa
Hommies later, kwanza paper
Kipendacho roho ni ngumu sana kukwepa
Kukosoa ni kazi rahisi, ngumu ni kuwa hapa
Na hapa, ni juhudi kubwa Joh Makini wa Simon
Mnihifadhi mi niwahifadhi moyoni
Muahidi shetani hatutaonana motoni
Raa

To be with you I feel like I’m on top of the world
And I wanna stay just like Kilimanjaro mountain
To be with you I feel like I’m on top of the world
And I wanna stay just like Kilimanjaro mountain

Kwa hizi aya, sioni haya tuweze kuroba
Baby ntakufikisha higher nikiwa sober
Hiyo haijamaanisha kwa lager lika matapu tapu ama viroba
Kwako nimezama manta hapa
Waje watusomee viroba, yep yah
Tushaiotea mvi, system haiwezi kuzuia tuwe wakubwa
Tunza siri usinifiche, dunia si ya ina
Tunza ufahari ni aibu ukiwa hauna
Knowledge kichwani, college ndo mimi
They call me chef jikoni
Recipe zangu ndo zinatoa mziki mtamu redioni
You’re my customer and I’m your number one fan
Kwanini usinipe credits, sababu ni debit
Account ya mashairi mitaani
Amini sitakuangusha nitabakia hapo hapo
Moja kati ya top chart ya moyo wako
G Nako, G G Nako

To be with you I feel like I’m on top of the world
And I wanna stay just like Kilimanjaro mountain
To be with you I feel like I’m on top of the world
And I wanna stay just like Kilimanjaro mountain

I don’t wanna play, I just wanna stay
I just wanna stay, I don’t wanna play

Matatizo hayashonwi kama neti
Usinifiche niambie na misingi haivunjiki
Nakuhitaji kila siku na sio kama sitosheki
Mapenzi niliyonayo juu yako hayaelezeki
Nitazunguka zunguka, sitaiona nchi kama wewe
Baraka kama Africa, muziki kama Hip Hop
Kama kweli ndo unauza, I’m on top
Yeah We don’t stop
Iko wazi, ni kweli good music
Family ndo hapa, baki usiende mbali nami
Kama Juliana, yamini
Support yako ndo uniweka juu sana
Higher, dizaini shinda niko marijuana
Tamu sana masikioni kama ya Luis Livan hivi
Dizaini hizi ndo nyakati zetu ku-shine
Mwanzo mwisho mapendo, sio mpaka Valentine

To be with you I feel like I’m on top of the world
And I wanna stay just like Kilimanjaro mountain
To be with you I feel like I’m on top of the world
And I wanna stay just like Kilimanjaro mountain

I don’t wanna play, I just wanna stay
I just wanna stay, I don’t wanna play
I don’t wanna play, I just wanna stay
I just wanna stay, I don’t wanna play

I just wanna stay like Kilimanjaro mountain
I just wanna stay like Kilimanjaro mountain

I’m on top of the world
Kilimanjaro mountain
I’m on top of the world
Kilimanjaro mountain

I’m African ah I’m African
I’m African ah I’m African
I’m African ah I’m African
I’m African ah I’m African
I’m African ah I’m African
I’m African ah I’m African
I’m African ah I’m African
I’m African ah I’m African
African ah I’m African

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI