MISTARI YA WIMBO HUU

Mwenzio kwako nimekufa
Ila ndo masikini so mi sina cha kukupa
Hivyo busu shavuni pengine kukugusa
Ndio njia pekee ya mimi kutoa rushwa
Acha mchicha nataka nyama we ndo muuza bucha
Nionyeshe kama una hurama hebu nipe ruhusa
Hata ka kimapenzi bado ntakuwa kuruta
Niwie radhi niko tayari ah usiku kucha
Nani kasema penzi uimbwa kwa taratibu
Si kila ladha ya sumu tamu kama zabibu
Inakupa tabasamu kicheko cha aibu
Ila mimi ni dakitari nieleze yaliokusibu
Ntokapo mimi wewe bidhaa hadimu
Inaoweza simamisha muda majira kila msimu
Ladha yako kama maji ya ndimu
Changanya na sukari ila sio ice cream
Ah gharama salamu yako
Inazidi ile bili ya simu
Na kwa macho umeniita na uhakika
Unachotaka kunieleza lazima kitakuwa muhimu
Nikikugusa niguse nachokupa nikupe
Moyo wangu na usheherekee
Ntakuganda kama kupe
This a real life movie baby girl
See I’ll never throw your love away
So here me say it now

You should shut up and listen
And if you let me have you Imma kill business
Hayo mapenzi ebu unipe
But if it’s not possible basi nambie nikipe
You should shut up and listen
And if you let me have you Imma kill business
Hayo mapenzi ebu unipe
But if it’s not possible basi nambie nikipe

Najua habari zangu utakuwa umesikia
Ila hao wazushi tu wanaotaka kukuingia
Mama sikia mimi sio mbuzi kupata mkia
Nakupa vya kwangu huku vya kwako nikivipitia
Kwa kila namna jaribu kukuridhisha
Kusema I love you hadharani pata picha
Ila kwanza mpira nakupa kama golikipa
Fanya maamuzi kabla mpira sijavaa you dig that
Hakuna penzi bila mawasiliano
Don’t matter if you dark skin light or albino
We can compromise but my decisions are final
Conveying the messages we Blackberry or iPhone
Mfano Ulaya ntahamia kama Bongo hapafai
Arabuni kwenda kuendesha ngamia Dubai
Mbona unashtuka kupanda ndege hujawahi
Mimi nishazoea pipa naona karai
Hear this love I’m feeling
I don’t know why it feels like I’m dreaming
Cause definitely I’m not high
Nakupa moyo kama vingine havifai
So you can turn your lights down low
Ma rasta fa lai

Nikikugusa niguse nachokupa nikupe
Moyo wangu na usheherekee
Ntakuganda kama kupe
This a real life movie baby girl
See I’ll never throw your love away
Here me say it now

You should shut up and listen
And if you let me have you Imma kill business
Hayo mapenzi ebu unipe
But if it’s not possible basi nambie nikipe
You should shut up and listen
And if you let me have you Imma kill business
Hayo mapenzi ebu unipe
But if it’s not possible basi nambie nikipe
You should shut up and listen
And if you let me have you Imma kill business
Hayo mapenzi ebu unipe
But if it’s not possible basi nambie nikipe
You should shut up and listen
And if you let me have you Imma kill business
Hayo mapenzi ebu unipe
But if it’s not possible basi nambie nikipe

Yeah you know how I feel about you baby
You know what
Moyo
Take care of it right

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI