MISTARI YA WIMBO HUU

Baby the heavyweight, a.k.a dadii au papii
Na una-wish tungeoana
Na we ni black beauty, mamaa mamii
Inapendeza tungeoana
Ila mishe zangu dushelele, pushe-pushe
Na baba ako ni pastor
Nawaza nikurushe, ili uende Kaburu
Na ukirudi ndo tule bata
Tutavaa nini bila mishe mishe?
Honey, tutakula bila mishe mishe?s
Bila kuuza unga na mbute, nangai na motei ma
Nasifikishe
I say tutakuwa mabubu mpaka lini?
Honey, tutakuwa viziwi mpaka lini?
Haya maisha ya boyfriend na girlfriend tu
Honey, tutayaishi wote mpaka lini?
Baby tutasema sema mpaka lini?
Tutakuwa midomoni tu mpaka lini?
Haya maisha ya boyfriend na girlfriend tu
Honey baby tutayaishi mpaka lini?
I say okay, ma-ma-ma-ma mamushka
I love you
Ma-ma-ma-ma mamushka
I need you
Moyo unadunda dunda tu
Ntamuogopa baba ako hadi mpaka lini?
Say tena ma-ma-ma-ma mamushka
(I love you)
Ma-ma-ma-ma mamushka
(I need you)
The heavyweight, the black beauty
Na-wish tutaoana

Naelewa maisha ni subira mbona kwetu imezidi sana
Wazazi wanataka wajukuu nangali hatujaoana
Nieleze mpaka lini? (wololo, wololo wololo wololo)
Mpaka lini mama? (wololo, wololo wololo wololo)
Mpaka lini wewe? (wololo, wololo wololo wololo)
Nieleze mpaka lini? (wololo, wololo wololo wololo)

Nimeshawaza maa, waza na wewe, ukiwaza na kuwazua
Honey tusije kushangaza jamii mamii baby
Tukawa vilema wa kuamua
Ebu waza baba ako na mama ako wasingefunga ndoa
Honey vipi leo ingekuwa?
Fikiria kaka ako na wifi yako wasingefunga ndoa
Honey vipi leo ingekuwa?
Baby, wapo waoku-feel na waokupenda
Mbele ya wazazi wataapa wanakupenda
Ukiwapa love honey baada ya siku kenda
Wameshakuchoka hawataki kukupa hata denda
Honey, mi ndo nae ku-feel, honey nakupenda
Mbele ya wazazi ntaapa nakupenda
Hata unipe love honey baada ya miaka kenda
Siwezi kukukimbia mbali mi nikaenda
Ila sipendi ukinuna
Sura inatuna kama nguna
Ila ukicheka maa, maa furaha kwangu na ndo maana wananuna
Ila sipendi ukinuna wee
Sura inatuna kama nguna
Ila ukicheka mama (wewe) furaha kwangu na ndo maana wanaguna
Honey

Naelewa maisha ni subira mbona kwetu imezidi sana
Wazazi wanataka wajukuu nangali hatujaoana
Nieleze mpaka lini? (wololo, wololo wololo wololo)
Mpaka lini mama? (wololo, wololo wololo wololo)
Mpaka lini wewe? (wololo, wololo wololo wololo)
Nieleze mpaka lini? (wololo, wololo wololo wololo)

Nasema nilikuacha pombe
Aah nilikula mirungi
Yaani vitoto usiseme
Aa haki ya Mungu swagga zako zimefanya nimebwaga
Nilikuacha pombe wee
Aah nilikula mirungi
Vitoto usiseme
Hizi swagga zako zimefanya nimebwaga wee

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI