MISTARI YA WIMBO HUU

Nimechoka longo longo kila siku mapenzi kama koro eeh
Demu ndombolo ya solo kanga moko mtaani kero kero eeh
Juzi juzi nimekuona unamchuna yule (eeh)
Sitaki love na wewe angalia mbele sitaki love
Love love mi staki ushamba wa mapenzi
Staki love na wewe mi staki ushamba wa mapenzi

Basi nikuimbie (msondo ngoma)
Nikuimbiee (msondo ngoma)
Nikuingilie (msondo msondo ngoma msondo ngoma)
Basi nikuimbie (msondo ngoma)
Nikuimbiee (msondo ngoma)
Nikuingilie (msondo msondo ngoma msondo ngoma)

Ale msondo ngoma msondo ngoma
Msondo ngoma msondo ngoma
Ale msondo ngoma ale msondo ngoma

Mapenzi ya noti noti nishashindwa maama
Nitafute wa kunipeti na mi nikule ujana
Kukupenda mama ishakuwa nongwa aah nasema
Kukupenda wewe ishakuwa nongwa aah nasema

Juzi juzi nimekuona unamchuna yule (eeh)
Sitaki love na wewe angalia mbele sitaki love
Love love mi staki ushamba wa mapenzi
Staki love na wewe mi staki ushamba wa mapenzi

Basi nikuimbie (msondo ngoma)
Nikuimbiee (msondo ngoma)
Nikuingilie (msondo msondo ngoma msondo ngoma)
Basi nikuimbie (msondo ngoma)
Nikuimbiee (msondo ngoma)
Nikuingilie (msondo msondo ngoma msondo ngoma)

Ale msondo ngoma msondo ngoma
Msondo ngoma msondo ngoma
Ale msondo ngoma ale msondo ngoma

Aah Nuh baby Mazuuuu (Record)
Shi Shi Baby
Wapi Sultana Hamis Mwenyewa
Aah msondo ngoma iyeee

Basi nikuimbie
Nihurumiee
Nifikiriee
Basi nikuimbie
Nihurumiee
Nifikiriee

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI