MISTARI YA WIMBO HUU
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe
Naomba tujifunze kupenda kusiwe na doa
Ningeweza kukufunga kamba ingekuwa poa
Usiruhusu kura za ndio mimi si mgombea
Na mapenzi hayagawanyiki
Ukigawanya umejitakia
Hakuna nachokosa nimejitolea hata kufa
Japo pesa hakuna tunalala tunakuamka
Tulilinde penzi letu mbele tusonge
Tizilinde ngome zetu sumu isipenye eeh
Nimekukabidhi moyo wee (wangu wee)
Na ukifate kile nisemacho (wangu wee)
Ukipinge kibaya nitendacho (wangu we)
Nimekukabidhi moyo (wangu wee)
Na ufate kile nisemacho (wangu wee)
Ukipinge kibaya nitendacho (wangu we)
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe
Nisikauke kwako moyoni
Uvishinde vishawishi mama
Wenye pesa watasaka wakipata wanaambaa
Sitakauka kwako moyoni
Nitavishinda vishawishi haya
Pendo lako lanishika kamwe sitatoka
Ugomvi mdogo usizalishe malumbano
Tuzishinde chuki na fitna zikiwemo
Angu angu wele apo nindipela na wewe
Saulo nitakutenda nelo nasiwaza narunduro
Angu angu we apo me nindipela na wewe
Saulo nitakutenda nelo nasiwaza narunduro
Nikikosa unisamehe na ukikosa nikusamehe
Nikikosa unisamehe na ukikosa
Hakuna nachokosa nimejitolea hata kufa
Japo pesa hakuna tunalala tunakuamka
Tulilinde penzi letu mbele tusonge
Tizilinde ngome zetu sumu isipenye
Nimekukabidhi moyo wangu wee
Na ufate kile nisemacho wangu wee
Ukipinge kibaya nitendacho wangu we
Nimekukabidhi moyo wangu wee
Na ufate kile nisemacho wangu wee
Ukipinge kibaya nitendacho wangu we
Nimekukabidhi moyo wangu wee
Na ufate kile nisemacho wangu wee
Ukipinge kibaya nitendacho wangu we
Nimekukabidhi moyo wangu wee
Na ufate kile nisemacho wangu wee
Ukipinge kibaya nitendacho wangu we
Nimekukabidhi moyo wee (wangu wee)
Na ukifate kile nisemacho (wangu wee)
Ukipinge kibaya nitendacho (wangu we)
Nimekukabidhi moyo (wangu wee)
Na ufate kile nisemacho (wangu wee)
Ukipinge kibaya nitendacho (wangu we)
Hakuna hakuna kama wewe
Hakuna hakuna kama wewe
No comments yet