MISTARI YA WIMBO HUU

Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Ilala
Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Manyanya
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala

Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Ilala
Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Manyanya
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala

Kalewa Tandika, supu Kariakoo
Kalewa Tandale, supu Kariakoo
Kalewa Manzese, supu Kariakoo
Kalewa Mabibo, supu Kariakoo

Ana ratiba zake za vigodoro
Usipouliza ndugu utalala doro
Kitaani wanamuita popo
Godoro anafata lilipo (waya!)
Amekwenda kukopa, ameshindwa kulipa
Amekwenda kukopa, ameshindwa kulipa
Ka-soundisha mtaa wa saba, kaondoka na unga
Ka-soundisha mtaa wa tatu, kaondoka na kiroba
Amekwenda kukopa, ameshindwa kulipa
Amekwenda kukopa, ameshindwa kulipa
Watu wote wamemchoka, na buzi tena hachuni
Haonekani saluni, zake twende kilioni
Leo mambo, mambo
Nasema mambo, mambo

Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Ilala
Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Manyanya
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala

Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Ilala
Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Manyanya
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala

Kalewa Tandika, supu Kariakoo
Kalewa Tandale, supu Kariakoo
Kalewa Manzese, supu Kariakoo
Kalewa Mabibo, supu Kariakoo

Kagombana na jirani, kaazimwa kimini
Kurudisha mtihani (shayowena)
Na madeni madukani, kutoka hawezi
Kajificha Buguruni
Tabia yake jamani, kupona sidhani
Tumuogope ka tsunami (wai wai wai!)
Tabia yake jamani, kupona sidhani
Tumuogope ka tsunami (wai wai!)
Huyu dada mbona hasomeki
Mbona hasomeki
Huyu dada mbona yuko feki
Sio kila kinachokatwa ukadhani nyama
Vingine vina utata

Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Ilala
Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Manyanya
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala

Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Ilala
Wamemshindwa Temeke
Wamemshindwa Manyanya
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala
Wanamuita queen wa kitaani
Mwananyamala

Mwananyamala
(Seti dagaa, nyama tamaa)
Mwananyamala
(Shayowena)
Mwananyamala
Hehehe damu ya chuma

Eeeh sikia sauti ya Chigunda
Hii kwa niaba ya achorile kachora, achorile achomwana
Wapi, sikia…
Wasalime Nangonda, waambie nakuja huko
Wanaacha ukucha, wanawajagwa
Wanyamwezi! Pata pesa tujue tabia yako
Aah rest in peace Omari Omari
Usiyempenda kaja!
Filisika tujue tabia ya mkeo
Umekosea njia, karibu tunywe chai na pilipili
We ukienda unachuchumaa, mimi nasimama
Chukua kipande cha nyama ukalale wewe
Uchawi haukosi hesabu
Kuruka ruka kwa maharage ndo kuiva kwake
Hehe mbona mwake!

Supu Kariakoo
Supu Kariakoo
Supu Kariakoo
Supu Kariakoo

Wakata mkaa mpo
(Aah B Daddy)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI