MISTARI YA WIMBO HUU

Muda mwingine utanikuta na mawazo
Kwasababu nakumiss
Muda mwingine chozi lanidondoka mimi
Kwa pendo langu la dhati
Muda mwingine nahofu..
Kwa vile unavyonipa ukimpa mwingine
Muda mwingine shahuku
Kwa vile unavyon’jali ukimjali mwingine, baby

Nikilia nabembelezwa kwa upendo
Nae akinuna namliwaza kwa vitendo
Je wewe ushawahi kubembelezwa?
Mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa
Aah aahaa nabembelezwa
Ooh oohoo nabembelezwa

Mapenzi si mchezo naamini
Wapendanao huwa pacha
Vitendo na mawazo maishani
Huwezi kutofautisha
Fitina si kigezo sononinyi ehee!
Ishakuwa gumzo mtaani
Watu wanatengeneza picha

Nikilia nabembelezwa kwa upendo
Nae akinuna namliwaza kwa vitendo
Je wewe ushawahi kubembelezwa?
Mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa
Aah aahaa nabembelezwa
Ooh oohoo nabembelezwa

Simuoni mwingine duniani
Wa penzi la kweli kama yeye
Sijawa punguani akilini
Niliemchagua ni yeye
Najua mtasema sema
Na mwisho wake mtulie
Mengi mtachonga sana
Ila nitabaki na yeye eh aa

Mamama mamama mamaa
Mama mamama (eeh!)
Mamama mamama mamaa
Tutu tururutu

Nikilia nabembelezwa kwa upendo
Nae akinuna namliwaza kwa vitendo
Je wewe ushawahi kubembelezwa?
Mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa
Aah aahaa nabembelezwa
Ooh oohoo nabembelezwa

Nikilia nabembelezwa kwa upendo
Nae akinuna namliwaza kwa vitendo
Je wewe ushawahi kubembelezwa?
Mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa
Aah aahaa nabembelezwa
Ooh oohoo nabembelezwa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI