MISTARI YA WIMBO HUU

Record
Ale maumalee
Shilole Shilole
Ale maumalee maumalee

Tangu zamani nasaka ridhiki
Nakomaa na movie mziki ili mradi nipate tu manoti
Aa aah huu ni mziki wengine tuna dhiki
Nasahau yote ya nyuma siwezi rudia matapishi
Akisema anaambiwa mengi nayajua
Mungu ndo anatoa siwezi kumroga najua
Akisema anaambiwa mengi nayajua
Mungu ndo anatoa siwezi kumroga najua

Wanasema nirudi Igunga
Maisha yashanishinda
Na mimi nasaka mavumba nasema sirudi nakomaa na jiji la Dar
Wanasema nirudi Igunga
Maisha yashanishinda
Na mimi nasaka mavumba nasema sirudi nakomaa na jiji la Dar
Aii ai ai aiii ai baba wooo
Aa aah ai ai aii

Nina mashetani mie
Nipishe
Nina mashetani mie
Akivua ntavua
Nina mashetani mie
Ai baba ai mama
Nina mashetani mie
Ai

Nina mashetani mie
Nipishe
Nina mashetani mie
Akivua ntavua
Nina mashetani mie
Ai baba ai mama
Nina mashetani mie
Ai

Pumzi ni bure sasa tatizo ni nini
Unataka mi unijue ili u-battle na mimi
Usiku natazama juu naona mbingu na nyota
Yatima mie ku-suffer sijachoka
Mungu nijalie nisiweze dondoka
Wenye majungu hawaishi ropoka

Wanasema nirudi Igunga
Maisha yashanishinda
Na mimi nasaka mavumba nasema sirudi nakomaa na jiji la Dar
Wanasema nirudi Igunga
Maisha yashanishinda
Na mimi nasaka mavumba nasema sirudi nakomaa na jiji la Dar
Aii ai ai aiii ai baba wooo
Aa aah ai ai aii

Ale maumalee ale maumalee
Ale maumalee mamalee maumalee

Nina mashetani mie
Nipishe
Nina mashetani mie
Akivua ntavua
Nina mashetani mie
Ai baba ai mama
Nina mashetani mie
Ai

Nina mashetani mie
Nipishe
Nina mashetani mie
Akivua ntavua
Nina mashetani mie
Ai baba ai mama
Nina mashetani mie
Ai

Nina mashetani mie
Nina mashetani mie
Nina mashetani mie
Nina mashetani mie

Aii ai ai aiii ai baba wooo
Aa aah ai ai aii

Ale maumalee
Nipishe
Ale maumalee
Akivua ntavua
Ale maumale mamalee maumalee
Ai baba ai mama
Ale maumalee
Nipishe
Ale maumalee
Akivua ntavua
Ale maumale mamalee maumalee
Ai baba ai mama

Wanasema nirudi Igunga
Maisha yashanishinda
Na mimi nasaka mavumba nasema sirudi nakomaa na jiji la Dar
Chezea

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU