MISTARI YA WIMBO HUU

Mbona wanitazama kisha waanza kulia
Kama nimekukosea naomba nisamehe

Hapana hujanikosea mi nalia kwa furaha
Mapenzi unayonipa sijawahi kupata

Mbona wanitazama kisha waanza kulia
Kama nimekukosea naomba nisamehe

Hapana hujanikosea mi nalia kwa furaha
Mapenzi unayonipa sijawahi kupata

Unaposogea karibu unaponishika mkono
Unaponitazama machoni nashindwa vumilia
Mapenzi unayonipa sijawahi kupata
Najiuliza ni kwanini hatukujuana mapema
Nimeishi na wasojua mapenzi
Wasojua hata kunyenyekea
Nimeishi na wanaojua ku-force
Wasojua hata kubembeleza
Ninapokuwa na wewe najiona ndio mwenyewe
Hata kama sina pesa najiona tajiri
Hata kama sijala najiona nimeshiba

Mbona wanitazama kisha waanza kulia
Kama nimekukosea naomba nisamehe

Hapana hujanikosea mi nalia kwa furaha
Mapenzi unayonipa sijawahi kupata

Mbona wanitazama kisha waanza kulia
Kama nimekukosea naomba nisamehe

Hapana hujanikosea mi nalia kwa furaha
Mapenzi unayonipa sijawahi kupata

Naomba Mungu atujalie tufunge ndoa mi na wewe
Na watoto pia tuzae wakuite baba na mi mama
Maisha yangu bila wewe sawa na basi bila konda
Maisha yangu bila wewe mbele sitosonga

Na bado na bado sijafika mwisho
Na bado na bado sijamaliza kitabu
Vumilia maisha yangu utakula vya kwangu
Mimi si wale wanaojisifu kwa ngono
Mapenzi si maneno mapenzi ni vitendo
Na bado na bado nimesema bado

Mbona wanitazama kisha waanza kulia
Kama nimekukosea naomba nisamehe

Hapana hujanikosea mi nalia kwa furaha
Mapenzi unayonipa sijawahi kupata

Mbona wanitazama kisha waanza kulia
Kama nimekukosea naomba nisamehe

Hapana hujanikosea mi nalia kwa furaha
Mapenzi unayonipa sijawahi kupata

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU