MISTARI YA WIMBO HUU

Kama nyota na mwezi angani
Kama nyota na mwezi angani

Mwenzenu naogopa kuumia
Mwenzenu naogopa kuumia

Usinipe namba ka unajua utajakuniuma
Kupenda sio ushamba, natamani na moyo unaniuma
Mi mwana masikini kipato kidogo (kidogo)
Uje uniache mimi uende kwa vigogo (ah vigogo)

Hata kama sipo
Pendo langu lipo
Mvua na mafuriko
Hapa mbele ya maandiko
Milele mpaka kifo
Kwamba mi ni wako
Wako, uh

Sijutii maamuzi yangu ila naogopa kuumia
Ndipo ilipo furaha yangu baby naogopa kuumia
Usije ponza hisia zangu mwenzio naogopa kuumia
Mapenzi ndio furaha yangu mwenzenu naogopa kuumia

Kama nyota na mwezi angani, niwe karibu nawe
Natamani hata kama ungenipenda mimi tu (mimi tu)
Ila kwingine usitamani, my baby, tuwe mimi nawe
Natamani hata kama ungenipenda mimi tu (mimi tu)

Hata kama sipo
Pendo langu lipo
Mvua na mafuriko
Hapa mbele ya maandiko
Milele mpaka kifo
Kwamba mi ni wako
Wako, uh

Sijutii maamuzi yangu ila naogopa kuumia
Ndipo ilipo furaha yangu baby naogopa kuumia
Usije ponza hisia zangu mwenzio naogopa kuumia
Mapenzi ndio furaha yangu mwenzenu naogopa kuumia

Mapenzi bila pesa ndio yaponzao
Mara nyingi moyo wangu
Ila najipa imani kwako haitakuwa hivyo
Tena kuwa makini nisemayo
Usiulaghai moyo wangu
Kwa kunipenda kwa uzani, mwisho kujutia

Ah! Hata kama sipo
Pendo langu lipo
Mvua na mafuriko
We mama
Hapa mbele ya maandiko
Milele mpaka kifo
Kwamba mi ni wako
Mama wee

Sijutii maamuzi yangu ila naogopa kuumia
Ndipo ilipo furaha yangu baby naogopa kuumia
Usije ponza hisia zangu mwenzio naogopa kuumia
Mapenzi ndio furaha yangu mwenzenu naogopa kuumia

Ila naogopa kuumia
Baby naogopa kuumia
Mwenzenu naogopa kuumia
Mwenzenu naogopa kuumia
Ila naogopa kuumia
Baby naogopa kuumia

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI