MISTARI YA WIMBO HUU

Nataka nitoke kwenye gazeti
Niuze sura
Niseme ninatoka na Jokate
Kitandani kisha na Feza Kessy
Ama Snura
Nilete matata mpaka kwa Grace
Kwenye radio zote mpaka runinga
Nitangaze kukuvimba kwamba Lulu ana yangu mimba
Au niwatukane wote wanaoimba
Kwa dharau na kuvimba
Mpaka yule anayejiita simba
Niseme madam Rita katetema
Akiniona anashindwa ata kuhema
Au Venessa kanena ananitaka na Jux atatemwa
Nataka nifanye sinema kwa waliozaa na Nay  Siwema
Kiki ipo njema au niende kwa Sepetu Wema

Ati ntokejee
Mwenzenu ntokejee
Ati ntokeje
Mwenzenu ntokejee

Naskia uwoya mkalii
Wanasemanga Shishi asali
Wolper atakubali akimwagikia Mo chali
Ninatafakari
Kichwani maswali
Nimtongoze Zari akijua Mondi si hatari
Rose Ndauka kaja na bia adi na salama
Mose Iyobo asije ninunie kwa Aunt Lawama
Mkubwa Fella Tale Salam Leaders
Mnizushie pesa wamenipiga
Chege na Madee wasije nipiga
Iyo weeh
Nataka nibadili ratiba
Kwangu isijeleta misiba
Nitoke wasafi niende kwa Kibaa (Yo!)

Ati ntokejee
Mwenzenu ntokejee
Ati ntokeje
Mwenzenu ntokejee

Nataka nifanye masegere eeh
Segere ooh segere
Segeree segeree ooh segere
Segeree segeree ooh segere
Yani bongo nzima makelele eeh
Segere ooh segere segere
Segere ooh segere segere ooh segere
Segere segere ooh segere
Nikinukishee kinoma noma
Segere ooh segere segere
Segere ooh segere segere
Macho kuvimba wataisoma
Segere ooh segere eeeh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI