MISTARI YA WIMBO HUU

We niache niende niende niende niende
We niache niende niende niende niende

Usiniulize kwanini sababu utanizingua
Ukitakajiunge na mimi kama ni pesa we kunywa ntanunua
Mi mwanzo sikuamini nikajuaga vyakuzua
Kumbe mjinga ni mimi ninayetunza wenzangu wanachukuwa..
(Oooh mapenzi)
Mapenzi yalinifanya ka mtoto nilie vibaya
Mie siwezi kwa yalonikuta we niache niseme jina
(Oooh mapenzi)
Yalinifanya ka mtoto nilie vibaya
Na nnamengi yamenikaa moyoni

Leo nataka kulewa (lewa!)
Mi nataka kulewa (lewa!)
Nataka kulewa (lewa!)
Zikipanda nimwage radhi
Leo nataka kulewa (lewa!)
Mi nataka kulewa (lewa!)
Nataka kulewa (lewa!)
Zikipanda nimwage radhi

We niache niende niende niende niende
We niache niende niende niende niende

Mi kwa mapenzi maskini nikamvisha na pete nikamuoa
Kukata vilimi limi vya wazushi wanafki wanaomponda
Kumbe mwenzangu na mimi ni bure tu najisumbua
Si tuko kama ishirini mabuzi ving’asti wengine anawaonga
(Oooh mapenzi)
Yalinifanya ka mtoto nilie vibaya
mie siwezi, kwa yalonikuta we niache niseme jina
(Oooh mapenzi)
Yalinifanya ka mtoto nilie vibaya
Na nnamengi yamenikaa moyoni

Leo nataka kulewa (lewa!)
Mi nataka kulewa (lewa!)
Nataka kulewa (lewa!)
Zikipanda nimwage radhi
Leo nataka kulewa (lewa!)
Mi nataka kulewa (lewa!)
Nataka kulewa (lewa!)
Zikipanda nimwage radhi

We niache niende niende niende niende
We niache niende niende niende niende

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI