MISTARI YA WIMBO HUU

I say do you wanna ride tonight na ngoma nzito
(Au umeanza kushoboka na hizi kabichi za mpito)
Do you wanna ride tonight na ngoma nzito
(Au umeanza kushoboka na hizi kabichi za mpito)
Aah Anyway
(I do it for my people)
Aah Anyway
(I do it for my people)
Aah Anyway
(I do it for my people)
N2N soldiers baby

Bembea na ngoma nzito kama kishiri cha sita
Ee Mungu ibariki hii mziki wa maisha
Enyi waganga njaa nawakatisha kwa kanisa
Mnaziekea flow ni vyema kustaafisha
Ee ngoma nzito na-search idea kama Google
Weka punch kwenye line wamechoka maliza hugo
Mizani deal bila single hewani hizi ni blessings
Acha kitaa kiamue who the best is
Kuwa mpole mwana usinitafutie kesi
Wananibambikizia kesi ili wauze magazeti
Nawambieni ngoma nzito na ndo kwanza nakata keki
Shughuli ndo imeanza hatuchoki kusimama wataketi
Kwanini watoto wa kike hawaezi zuia wanacho-make
Do you wanna ride tonight na ngoma nzito
Au umeanza kushoboka na hizi kabichi za mpito
Ah Anyway I do it for my people
Na kuiangusha Nako si unajua ni ngoma nzito
Nyota inang’aa mwanga mulikia ghetto
Inayoenda juu itarudi chini sawa tu mpeto
Wapigie debe watoto tumekalia moto
We are renegade hatuogopi msoto

Aah aah aah aah
I say do you wanna ride tonight na ngoma nzito
(Au umeanza kushoboka na hizi kabichi za mpito)
Do you wanna ride tonight na ngoma nzito
(Au umeanza kushoboka na hizi kabichi za mpito)
Wakikwambia hii ngoma ngumu
(Waambie hii ngoma nzito)
Haifai kwa biashara
(Sio lazima niuze Kariakoo)
Hii ngoma ngumu
(Aa haa hii ngoma nzito)
Hii ngoma ngumu bana
(Aa haa hii ngoma nzito)

Nawaambia maneno ya mitaa
Hakuna playlist bila Weusi aah
At least muwe mnafata kile kinachowafaa
Tunajua mnachoanya jamaa kipara chapaa
Raa Mnatia aibu mpo kwenye bureau
Mmetufanya tuishi kama tuko kwenye barrow
Rolling paper Wiz Khalifa
Hizi makini ni mi ndani ya Impalla
Hakuna roof uuh Kabisa
Na hizi ni ndoto ntapata pa kujificha
Mmepata picha Wow wow
Hapo mkeo atataka tuvunje amri ya sita
Namwambia mama hapana walikataza kwa kanisa
Mungu hapendi unachofanya mwanangu
Acha ku-pretend unaonekana kipapa
Message sent in hii ngoma nzito baba ‘ake eeh eh
Hii ngoma nzito baba ‘ake eeh eh
Anaongea nini kuhusu Nako
Atachekwa mtaani we muache tu shauri yake
Na kama Hip Hop ingepewa nafasi ya Bongo Flava
Kwa mwezi mmoja tu
We niambie ingekuwaje baba ‘ake Eeh eeh eeh

Kwahiyo majogoo za mtaa mwingine
Hazikojoi mtaani hapa
Kwahiyo majogoo za mtaa mwingine
Hazikojoi mtaani hapa

Kuifanya ngoma iwe ngumu nyie mamadogoo kumanga aah
Nyie mamadogoo kumanga aah
Nyie mamadogoo kumanga

Wakikwambia hii ngoma ngumu
(Waambie hii ngoma nzito)
Haifai kwa biashara
(Sio lazima niuze Kariakoo)
Hii ngoma ngumu
(Aa haa hii ngoma nzito)
Hii ngoma ngumu bana
(Aa haa hii ngoma nzito)

I say do you wanna ride tonight na ngoma nzito
(Au umeanza kushoboka na hizi kabichi za mpito)
I say do you wanna ride tonight na ngoma nzito
(Au umeanza kushoboka na hizi kabichi za mpito)
I say do you wanna ride tonight na ngoma nzito
(Au umeanza kushoboka na hizi kabichi za mpito)
I say do you wanna ride tonight na ngoma nzito
(Au umeanza kushoboka na hizi kabichi za mpito)

Aah Anyway
(I do it for my people)
Aah Anyway
(I do it for my people)
Aah Anyway
(I do it for my people)
Aah Anyway
(Hii ngoma nzito)

Kwa hiyo majogoo za mtaa nyingine hazikojoi mtaani hapa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI