MISTARI YA WIMBO HUU

(Give me a break!)
Utasema ni Weusi mara nyingi
Lakini hakuna, ni mziki mzuri
Hehe na Mandugu tukiwa Digitali
(A City) unajua inavyokuwa

Give me a break, break
(Niache kidogo)
Give me a break, break
(Niache kidogo tafadhali)

Give me a break, break
(Niache kidogo)
Give me a break, break
(Niache kidogo tafadhali)

Ushiro baba, sisoo, ushiro baba
Usibane track, hizo shoo zilete hapa
Kwa jina la Nikki, oh, jina la rapper
Una stress kilo 2, una ujinga kilo 4
Kipururu kilo 7, kwa mikono kajitibu
Jinusuru mara 7

(Weusi) baba la baba
Miraba saba, palipo nyinyi hapaharibiki
Sisi panga la shaba, nifate maktaba haa!
Nikiwafanya wanamsimulia mwenzao
Wakinipaga simsimulii mtu, ndo tabia zao

Ni bombo, nikama kuna chuo cha majungu
Bongo, kusahau msosi wa mchana ilikuwa mombo
Siku hizi nakula mwewe, sio kama basi ni shombo
Madeni yamepungua dukani kwa Molombo

Baba Samantha, easy man!

Give me a break, break
(Niache kidogo)
Give me a break, break
(Niache kidogo tafadhali)

Give me a break, break
(Niache kidogo)
Give me a break, break
(Niache kidogo tafadhali)

Dunga anaziita “High Music”
Babylon wanasema hiyo haiuziki
Flows zinakupa ugonjwa kaka, are you sick?
Promo zishakubeba sasa mbona haufiki?
Vunga mwanangu, kitaani Nyeusi huitwaga classic
Chunga mwanangu, si ni shinda chuma, nini plastic
(So )

Give me a break (niache kidogo)
God! Mungu yu hai
Tuna mzigo mkubwa mbele yetu
Ndo binadamu wenzetu
Hatuwezi kuwakimbia, ka break tu kidogo
Hii dunia ya wakosefu
Haya maisha yao ya kila siku
Wanalala mchana, wanawanga usiku
Napiku upumbavu, hizi mbio za uerevu
Kuwa mtu mzima sio mav*zi na ndevu

Wananyata wakingata ulimi
Umbea ndo unawalea, wananata na nini?
Mi nanata na beat
Wanang’atwa na mimi, sina habari ya mjini
Wanipata lakini!

Give me a break, break
(Niache kidogo)
Give me a break, break
(Niache kidogo tafadhali)

Give me a break, break
(Niache kidogo)
Give me a break, break
(Niache kidogo tafadhali)

Amka nenda ka***
Mi na-sip Pinnacollada, my broda
Mi nawaza kuzivusha border
We unawaza kuzishusha chini, nchini my broda
Why you wanna go and do dat, my broda?
Hahaha, why you wanna go and do dat–
Why you wanna go and do dat, my broda?
Weusi in a house, murder, murder

Give me a break, break
(Niache kidogo)
Give me a break, break
(Niache kidogo tafadhali)

Give me a break
(Niache kidogo)
Break, break
(Niache kidogo tafadhali)

Give me a break, break
Give me a break, break

Give me a break, break
Give me a break, break

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI