MISTARI YA WIMBO HUU

Geof Master on this one
Chocheee!
Bayo The Great is oooo..!
Voluntary Services Overseas..

Baby naelewa kwa nini umenimwaga
Visa vituko nlokufanyia sio poa
Najua we ni binadamu (Nisamehe)
Najua we ni binadamu darling,

Ntavuka milima mabondee
Ili mradi niwe nawe
You know I love you
Yes I love you
I love you
Chede ni chede ma baby!

Daily niwe nawe, we ndo wa pekeeee
Usifanye nipagawe, your love is magical
Nielewe Nielewe Baby (ooh)
Nielewe Nielewe Baby (ooh)

Kwanza ma
Unanipaga raha
Mapenzi ya kweli yanakwenda na furaha,
Ulivyo sex.. unavodance..
Chochote unachotaka mi ntacheki na budget
Coz I know unavoringa lazima unapedesheee
Me luv data gal miss you wanna once I get for free
I know I can I can make you win rampapapapa rampapapapa gyal down
Umbo namba nane kila mtu anakusifia
Bonge la mtoto level zako so Sylvia
Najua unajijiua black beauty
Mtoto wa kipemba Zenji kwa Gude, jina labda
When I’m with you, I feel so alive
Love just me baby, I know you won’t deny

Ntavuka milima mabondee
Ili mradi niwe nawe
You know I love you
Yes I love you
I love you
Chede ni chede mababy

Daily niwe nawe, we ndo wa pekeeee
Usifanye nipagawe, your love is magical,
Nielewe Nielewe Baby (ooh)
Nielewe Nielewe Baby (ooh)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI