MISTARI YA WIMBO HUU

Ukahaba uloufanya
Pembeni mimba ukabeba
Mtoto nje ukazaa
Ndio maana umeachwa
Bata uzokula
Upedeshee uloleta
Misifa ulioifanya
Ndo maana umefulia
Ukahaba uloufanya
Pembeni mimba ukabeba
Mtoto nje ukazaa
Ndio maana umeachwa
Bata uzokula
Upedeshee uloleta
Misifa ulioifanya
Ndo maana umefulia wewe
Mume wa mtu ulobeba
Kujitamba ulikojitamba
Mashauzi ulofanya
Ndio maana umelogwa
Fitina uloleta
Majungu ulopika
Ndio sababu ajira nimepoteza
Mume wa mtu ulobeba
Kujitamba ulikojitamba
Mashauzi ulofanya
Ndio maana umelogwa
Fitina uloleta
Majungu ulopika
Ndio sababu ajira nimepoteza mimi

Nimevurugwa
Mwenzenu nimevurugwa
Nimevurugwa
Mimi nimevurugwa
Nimevurugwa
Mwenzenu nimevurugwa
Nimevurugwa
Mimi nimevurugwa

Nimevurugwa
Mwenzenu nimevurugwa
Nimevurugwa
Mimi nimevurugwa
Nimevurugwa
Mwenzenu nimevurugwa
Nimevurugwa
Mimi nimevurugwa

Mkandarasi alopewa
Simenti kaiba
Ndo alofanya ghorofa lilete shida
Ufisadi mnaofanya
Rushwa mnaokula
Ndio sababu nchi inayumba yumba
Mkandarasi alopewa
Simenti kaiba
Ndo alofanya ghorofa lilete shida
Ufisadi mnaofanya
Rushwa mnaokula
Ndio sababu nchi inayumba yumba
Uzembe uliofanywa
Walimu wakagoma
Wanafunzi wakashindwa kusoma
Ndio maana wamefeli
Mazoezi hakufanya
Mechi kapangwa
Mpira kacheza
Ndio maana katufungisha
Uzembe uliofanywa
Walimu wakagoma
Wanafunzi wakashindwa kusoma
Ndio maana wamefeli
Mazoezi hakufanya
Mechi kapangwa
Mpira kacheza
Ndio maana katufungisha

Nimevurugwa
Mwenzenu nimevurugwa
Nimevurugwa
Mimi nimevurugwa
Nimevurugwa
Mwenzenu nimevurugwa
Nimevurugwa
Mimi nimevurugwa

Nimevurugwa
Mwenzenu nimevurugwa
Nimevurugwa
Mimi nimevurugwa
Nimevurugwa
Mwenzenu nimevurugwa
Nimevurugwa
Mimi nimevurugwa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI