MISTARI YA WIMBO HUU

Mpenzi naomba unipe japo nafasi
Nipe nafasi
Usiniweke roho juu
Mpenzi naomba unipe japo nafasi
Nipe nafasi
Usiniweke roho juu

Nakosa raha sina imani
Nimeshasumbuka kwa kina
Tena masika mengi sana
Nabakia mimi kuumia
Chanzo chake ni mapenzi
Sitothubutu kukwambia tena, katu nitaumia

Unapopita maskani, shoga zako we saluni
Unanifanya hayawani
Kila dakika unavutia darling
Napokukuta viwanjani, au uendapo we sokoni
Sindana yako ya thamani
Najua kupendana sio hatia

Mpenzi naomba unipe japo nafasi
Nipe nafasi
Usiniweke roho juu
Mpenzi naomba unipe japo nafasi
Nipe nafasi
Usiniweke roho juu

Ni mshangao ni butwaa
Unauliza vipi Top In Dar
Mbona pamba anavaa lakini anaonekana mshamba
Iwe kwa shida au kwa raha
Mtoto wa Afrika bambataa
Hajazimika sababu ya ustaa ndio maana nimechizika

Unapopita maskani
Shoga zako we saluni
Unanifanya hayawani
Kila dakika unavutia darling
Napokukuta viwanjani
Au uendapo we sokoni
Sindana yako ya thamani
Nipe nafasi, nipe nafasi eh

Mpenzi naomba unipe japo nafasi
Nipe nafasi
Usiniweke roho juu
Mpenzi naomba unipe japo nafasi
Nipe nafasi
Usiniweke roho juu

We sema ni sauti ya dhahabu ka ya TID
Unapenda ninapo-rap na gwiji wa RnB, Top
Kwangu huoni, kwangu hausikii
Binti siku haipiti bila sms ya Fid husuku
Chapchap najibu, machafu chafu wasijeharibu
Nipo sharp tu na fans na-sign ma-autograph
Fid Q mbandibu, mtabibu unaniita lollipop
Sugar kama unanizuga, chumba atakuona kapu
Mi nipo ndani ya love hii ni live bila chenga
Nipo na simple life langu hesabu zinakwenda
Eti wananiponda mimi unaponiita Nyonda Mkali, ya nini
Wanajikomba mjini wanajigonga huwezi amini

Mpenzi naomba unipe japo nafasi
Nipe nafasi
Usiniweke roho juu
Mpenzi naomba unipe japo nafasi
Nipe nafasi
Usiniweke roho juu

Mpenzi naomba unipe japo nafasi
Nipe nafasi
Usiniweke roho juu
Mpenzi naomba unipe japo nafasi
Nipe nafasi
Usiniweke roho juu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI