MISTARI YA WIMBO HUU

Love me the way I am
Take me the way I am
Nipende kama nlivyo (baby girl promise)
Just the way I am (baby girl promise)
Nipende kama nlivyo
Nipende kama nlivyo
Just the way I am (baby girl promise)
Nipende kama nlivyo (baby girl promise)

Nipe simple tu, formal life
Juu kwa juu Byser
Beezy Babylon, Mr Blue
Sina rafiki paparazi ndio jina liwe juu
Mziki wangu kwanza kazi, kama elimu basi ya chuo kikuu
Najivunia kuwa mtanzania
Hivi hivi nilivyokuwa, hivi hivi naitangaza Tanzania
Sio malaika, sio mtoto wa malikia
Nipende nikupende nami nitakuaminia
Mtoto wa mjini, masikini, hali ya chini
Ubishi tu na harakati nyingi
Bila nyumba, bila gari, bila mali, bila zali
Nipende kama nilivyo, nithamini kama roho
Usinifanye taka ukaiweka kwenye store
Thamini kula kwanza ndo uitupe kwenye choo
Nipende kama nilivyo Heri Same Rajabu
Mtoto wa Gerezani, Kinondoni, Magomeni
Temeke na Kariakoo!

Love me the way I am
Take me the way I am
Nipende kama nlivyo (baby girl promise)
Just the way I am (baby girl promise)
Nipende kama nlivyo
Nipende kama nlivyo
Just the way I am (baby girl promise)
Nipende kama nlivyo (baby girl promise)

Twende ukinipa love, usinipe kizunguzungu
Mi mwenyewe kizunguzungu, kichwa kimechoshwa na
Skendo na majungu, kaa tulia kizungu nitoe kwenye uchungu
Ukungu na uvungu
Nilivyo ka nilivyo nitaondoka ka nilivyo
Ukijitenga we adui nakuacha kama ulivyo
We si adui, basi nenda likizo
Kwani we hujui kuwa sidili na dili hizo?!
Niko na ndugu, karaha na matatizo
Tuko mtaani kuna dhiki, masikini hathaminiki
Kuwa adui ndo rafiki na mnafiki wa shabiki
Na nyota kubwa, ila moyo safi
Asante Mkubwa kwa kunipa kipaji na bahati
Nacho bado nakitunza aminia
Naishi mara moja kwa amani mpita njia
Rest In Peace mom, Roy na watu waliotangulia
Amen!

Ntakupenda bila sababu every day of my life
Na wakitaka sababu tell them I am your life
Hivyo hivyo ulivyo (baby girl promise)
Just the way you are (baby girl promise)

Love me the way I am
Take me the way I am
Nipende kama nlivyo (baby girl promise)
Just the way I am (baby girl promise)
Nipende kama nlivyo
Nipende kama nlivyo
Just the way I am (baby girl promise)
Nipende kama nlivyo (baby girl promise)

I’m not a mountain, I’m not a desert
I’m not an ocean, I’m not a sky
I’m not a cloud, I’m not an angel
So take me the way I am
Love me the way I am (baby girl promise)
Baby girl promise
Baby girl promise
Baby girl promise

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI