MISTARI YA WIMBO HUU

Nivute kwako niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby
Nivute kwako niwe wako milele
Nivute kwako, nivute

Najua unanipenda nami nakupenda wewe
Najua nakupenda ila nangoja uanze wewe
Moyo wangu wakupenda wewe pekee
Nivute kwako nitoe huu upweke
Akili yangu yakuwaza wewe pekee
Nivute kwako nitoe huu upweke

Endapo utasema hutokataliwa (wewe)
Endapo utasema hutofikiriwa (wewe)
Endapo utasema utakubaliwa
Utakubaliwa baby

Nivute kwako niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby
Nivute kwako niwe wako milele
Nivute kwako, nivute

Kama kukuvuta ntakuvuta
Ila upendo wangu kwako usijeshuka
Zipo shida nyingi na mabalaa
Vumilia hata tukishinda njaa
Mola hugawa ridhiki kwa mafungu
Subiri zamu yetu atafika kwetu

Ziko shida nyingi sijali, sijali, sikali
Mimi ni wako tayari, tayari, tayari
Ziko shida nyingi sijali, sijali, sijali
Mimi ni wako tayari, tayari, tayari

Nivute kwako niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby
Nivute kwako niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby

Kapanga yeye mimi kuwa nawe
Uoga utoe ungechelewa ningesema mwenyewe
Kapanga yeye (si mwingine)
Mimi kuwa nawe (na wewe)
Uoga utoe ungechelewa ningesema mwenyewe

Nivute kwako niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby
Nivute kwako niwe wako milele
Nivute kwako, nivute

Sheddy Clever
Yeah it’s me Barnaba Boy Classic

Dayna na Barnaba (Burn Records)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI