MISTARI YA WIMBO HUU

House of music A city in the house
Mpeleke Joh makini, Nikki Wa Pili, Wara Wara
Mpeleke Nje nje nje ya kumi na nane
Nje ya kumi na nane
Mpeleke Nje nje nje ya kumi na nane

Mungu nijalie demu mpenda pesa
kila siku nipigane kuwa bakhresa
Asinipende mimi apende verosa
Wana wamegewa wengi ndio kitu wamekosa
Malighafi ya suruali si boxer
Siri nyingi mahali dingi alikosa
Demu wa shida na raha na misoto sana
Huyo demu hanifai changamoto hana
Ikiwa demu wako anapenda vidogo
Uwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo
Demu amsifie sana bosi wangu
Nikasirike kesho nijenge kiwanda changu
Sitaki demu wa kitanga jioni moja kanga
Tayari amejipanga kwa mabusu mangapi
Demu nayemtaka
Manka wa kichaga jioni anaulizaga
Umeingiza sh ngapi

Mpeleke nje nje nje nje ya kumi nane
Nje nje nje nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje nje nje nje ya box
Nje ya box
Nje ya kumi na nane

Namtoa nje ya box ndio nampecha ndani ya box
Aulizie ferrari jo ni kitu gani Verossa
Demu boda boda kwenye bajaji anasinzia
Itaua kipaji na uwezo wa kufikiria
Asinipende kama joh anipende kama stars
Super kabisa ile gumzo ya kitaa
Hili nikaze asinilemaze nikadumaa
Sio demu anayehitaji kuwa na ndoa
Bali mwanamke anayehitaji mahitaji ya ndoa
Na sheria mikononi simpgi demu
Nachukua sheria kiunoni joh let me kill them
Asiyefanya kazi ndio neno lenye uhai
Asishike neno ashike maneno lenye maslahi
My lips don’t shine when yo hips don’t lie
Sio wa lift vocha chips mayai
Demu cheap me hanifai
Habari gani afanye niwaze milioni
Kumuonga laki mbili tabu nisione
Ukiona mdundo ni mapene ya mweusi
Sio miaka thelethini na tano driving school

Mpeleke nje nje nje nje ya kumi nane
Nje nje nje nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje nje nje nje ya box
Nje ya box
Nje ya kumi na nane

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI