MISTARI YA WIMBO HUU

Everybody what
Kila mmoja yuko mtaani nae anataka kujionea
Story ya mtu aliyekufa yuko mtaani anatembea
woi
(Classic Music)
Touch

Yoh

Kumbe maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
Maji mara moja kama maharage ya Mbeya
What
Ah Kumbe maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
Najikuta Sekilojo anachambua anatembea
(Mh)
Ukizoea uongo mwisho utajiongopea
Huu sio mchezo wa Bishanga Mzee Jongo kauotea
Piga mbizi kwenye lami hadithi zote za zamani
Utaniweka moyoni usiponibandika ukutani
Unaweza cheka kama utani Bongo wanachana hadi mabibi
Niulize kiporo cha juzi na ghetto hakuna friji
Funga mkanda funga hata mkwiji ikibidi
Njia nyembamba panda na kushuka pia nyingi
Ma-emcees ujana mistari isiyo na maana
Muziki umewakalia vibaya nyie watoto ogopeni laana
Wanatafuta kwa tochi na wamepoteza mchana
Nshazoea kubebwa leo mbeleko nimechana
Nimekuwa mtoto Idd kuzua mabalaa
Kimbizi mwenge kila kijiji hadi kitaa unachokaa

Kumbe maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
Ma ma maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
Kama maharage ya Mbeya kama maharage ya
Mbeya
Kumbe maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
(Kumbe maji mara moja kama maharage ya
Mbeya)
Ma ma maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
Kama maharage ya Mbeya kama maharage ya
Mbeya

Toka picha limeanza nimekula bati
Leta watoto waliopinda mi napiga pasi
Muda wa kulipa mshahara wale binadamu kazi
Kuna shabiki wa muziki na shabiki wa mandazi
Muda wa kupeta punga si tupike mchele
Muziki biashara ya mitumba lazima upige kelele
Panya wenzako wana kikao nani wa kunifunga kengele
Natabiri vifo vyao wafuasi wa Kibwetere
Kwenu kunguru hafugiki kwetu kama tetere
Haimaanishi ukiwa mfupi ndo mawazo usione mbele
Anza kufuga kucha kabla ya kumtaka Chaupele
Utachokuja kukumbuka mjini chenga za Pelle
Tembea macho mbele usitembee macho chini
Kama ushagasikia mtu anaoga mto Wami ndio mimi
Natoa mapepo ya muziki mistari ya upako
Sasa kaka ukiwa mmbea watafanyaje dada zako

Kumbe maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
Ma ma maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
Kama maharage ya Mbeya kama maharage ya
Mbeya
Kumbe maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
(Kumbe maji mara moja kama maharage ya
Mbeya)
Ma ma maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
Kama maharage ya Mbeya kama maharage ya
Mbeya
Kumbe maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
Ma ma maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
Kama maharage ya Mbeya kama maharage ya
Mbeya
Kumbe maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
(Kumbe maji mara moja kama maharage ya
Mbeya)
Ma ma maji mara moja kama maharage ya
Mbeya
Kama maharage ya Mbeya kama maharage ya
Mbeya

Touch

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI