MISTARI YA WIMBO HUU

Sikiliza rafiki navumilia vingi vitimbwi
Moyoni bado anaishi ila amejaa usaliti
Aliondoka akaniacha peke yangu
Huku nyuma nikalia na Mungu wangu
Haikufika hata mwezi alipokosa furaha akarudi
Ameshachora na tattoo jina la mpenzi wake mdanganyi
Lakini bado nilimpa moyo wangu
Nikiamini kuwa ye ni fungu langu nilopangiwa

Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Uzidi kusema na Mola ataitika

Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Uzidi kusema na Mola ataitika

Mapenzi ni wawili wasioachana solemba
Iwe kwa dhiki wingi wa mali
Muhimu kupendana
Mapenzi ni wawili wasioachana solemba
Iwe kwa dhiki wingi wa mali
Muhimu kupendana

Mbona yako ni madogo
Yanayonikuta huwezi niamini
Mpaka leo naishi nae
Anakuja na mpenzi hadharani
Ninachofanya mi nacheza part yangu
Ingawa kidoleni ana pete yangu
Nakusihi vumilia siku moja ndoto yako itatimia
Malumbano na zogo ya mapenzi huwezi kimbia
Daima subira ndio ngao yangu
Nawe jaribu kufata nyendo zangu
Utajivunia

Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Uzidi kusema na Mola ataitika

Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Uzidi kusema na Mola ataitika

Mapenzi ni wawili wasioachana solemba
Iwe kwa dhiki wingi wa mali
Muhimu kupendana
Mapenzi ni wawili wasioachana solemba
Iwe kwa dhiki wingi wa mali
Muhimu kupendana

Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Uzidi kusema na Mola ataitika

Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Nyota na ing’ae kwako wee (nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Uzidi kusema na Mola ataitika

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU