MISTARI YA WIMBO HUU

Chambichambi zilinitoka
Ukajifanya kunitoroka
Kama ndege ukaruka
Wenye fedha wakakuteka
Ndoto zangu zote zikaishia hewani
Nikabaki na jeraha moyoni
Watu wengi wakacheka sana kwa sababu
Nilibakia kama hayawani
Ulidhania siwezi tena
Kuishi peke yangu
Ukafikia kiwango chaku-mtusi mama yangu
Ukaniona sifai tena
Eti huzioni pesa zangu
Wale watu walikudanganya
Umevunja moyo wangu
Vipi mbona tena unataka kurudi tena nafasi zimejaa
Ulipokwenda wamekutema
Unataka kurudi nyuma (hebu muogope jah)
Wakurugeta wameshapita
Nilidata ukanitosa (nilikuwa majalala)
Waweza kwenda ulipokwenda
Kwani bado nakidonda (unapigwa na butwaa)

Fly ( toka zako)
Fly (nenda zako)
Like a butterfly (oooh oooh)
Fly (toka zako)
Fly (nenda zako)
Like a butterfly
Yeeeh oooh
Pepea hee
Potea hee
Yeeeh ooh
Pepea hee
Potea hee

Nilikupenda kama papai
Nikakulea kama yai
Lakini bado hukujali
Ukawafata wenye mali
Nikapita kona zote nakusaka
Kumbe ulishakimbilia mbali
Hadi kwenu nilikuja kuuliza
Ila ndugu zako hawakujali
Wakasema kwamba sina pesa
Siwezi kukuposa (hee)
Moyo wangu ukautesa
Nilikumiss nikakukosa (hee)
Watu wengi wakanicheka
Wakasema nimedata (hee)
Muda mwingi umeshapita
Ndio unarudi kunisaka
Toka sikuhitaji tena
Tena ulijifanya msapinapi
Waliokupenda wako wapi
Umeshalala na wangapi
Umegawa tunda kama pipi
Usinibeep sibipiki
Moyoni kwangu sina nafasi
Wala sijui nitakuweka wapi

Aaah say goodbyeee
Yeeeh oooh heee mmh
Pepea hee potea hee
Pepea hee potea hee
Pepea hee potea hee
Pepea hee potea hee
Pepea hee potea hee
Pepea hee potea hee
Pepea hee potea hee
Ndio maana yake

Fly ( toka zako)
Fly (nenda zako)
Like a butterfly (oooh oooh)
Fly (toka zako)
Fly (nenda zako)
Like a butterfly
Yeeeh oooh
Pepea hee
Potea hee
Yeeeh ooh
Pepea hee
Potea hee

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI