MISTARI YA WIMBO HUU

Ikino baby (kunguru)
Ikino baby (ameruka kunguru)
Mama bikino baby
You make me kwasa eh
You make me kwasa kwasa eh
Ni shimo la wengi (kunguru)
Ye ndo shimo la wengi (ameruka kunguru)
Ye ndo shimo la wengi
Kuweka taka eh
Kuweka takataka eh

Igunga mpaka Jo’burg
Kweli nimesota
Shida nlizopita
Kamwe sitaki kukumbuka
Say my name Shishi
Mwanamke mbishi
Nazijua dhiki
Vikaragosi hamnitishi
Najua unaniombea mabaya
Si ulijua ntayumba
Wa kuzuia ni Mola
We binadamu utashindwa
Shishi Baby

Ikino baby (kunguru)
Ikino baby (ameruka kunguru)
Mama bikino baby
You make me kwasa eh
You make me kwasa kwasa eh
Ni shimo la wengi (kunguru)
Ye ndo shimo la wengi (ameruka kunguru)
Ye ndo shimo la wengi
Kuweka taka eh
Kuweka takataka eh
Siku hizi unavuta cigarette
Hush
Una stress
Kaka mbona husomeki
Hush
Hubebeki
Nakujua A to Z
Wewe hammer baby
Kweli hubebeki
Ama kweli we makuu

Ikino baby (kunguru)
Ikino baby (ameruka kunguru)
Mama bikino baby
You make me kwasa eh
You make me kwasa kwasa eh
Ni shimo la wengi (kunguru)
Ye ndo shimo la wengi (ameruka kunguru)
Ye ndo shimo la wengi
Kuweka taka eh
Kuweka takataka eh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU