MISTARI YA WIMBO HUU

Aan haa!
Now lemme take you back to hood right now
We’re gonna do the remix Darassa
Necky, you ready?
Mama I see you, you know
Aah this is not my first time standing by the mic you know
Dedicated to all my niggas in the hood, you know (Salasala we in house)
It’s how we do we living..we living hard life (slow down! Aah!!)
I slow down, lets go!

Aah!
Toka mdogo maisha yangu hayakuwa simple
Miaka mitano gerezani Kariakoo nauza sizo
Mtaa umenitengenezea attitude ya ki-gangster
Wenzangu wamelala, mi niko mtaani naokota scrapper
Mila mi, machizi hawaamini ka Zilla ni genius
Blaza ananipa hela ya rizla aka-roll cannabis
Maza anaamini hakuna hela bila skuli
Huku mtaani tunaamini bila kamari hatuli
Matunzo ya mtaa wana-dream ya ku-push Limo
Machizi wanaenda South border viva freelimo
Maisha ya mtaa sio ishu, mlo mmoja kwa siku
Machizi wanakula mpakani mwa mchana na usiku
Dada I miss you, mi ni mtoto wa mtaa you know my details
I’m so black na kila bidhaa we sell
Nikizipata nigga so don’t be mad
Mi ni mtoto wa mtaa and I ball so high

Even though life is harder
Life is harder life, life
Mi sikati tamaa, tamaa, tamaa
Siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata, nimekula, nimeshinda njaa
Mi sikati tamaaa, tamaa, tamaaa
Siku moja nitapata

Mfano mi nimelelewa kwenye mtaa
Sio wale wa ‘Mummy I’m going, I need to use your car’
Baba ‘angu alimpata mdau kaachwa mama kwenye mataa
Kaekwa ndani kama mwali na mwanamke kisa njaa
Mungu kama kanisahau ila bado naomba dua
Nashukuru kwa nafasi mdogo mpaka nakua
Kwenye amani ya mkopo, mapenzi ya kununua
Mtaani nilitiaga mimba hata godoro sijanunua
Watoto wa siku hizi ndo maana mengi wanajua mapema
Maana wanacheza walichoona kwenye sinema
Magazeti kila siku ni ya Diamond na Wema
Wakati mtaani kuna vitu vingi vya kusema
Oh my God, nivue miwani niione vyema dunia
Sijutii kuwa mtaani na sijapanga kuikimbia
Amani kwenye njaa ka maisha ya mtanzania
Na refa anaita kati na mfungaji kavizia
Goddamn!

Even though life is harder
Life is harder life, life
Mi sikati tamaa, tamaa, tamaa
Siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata, nimekula, nimeshinda njaa
Mi sikati tamaaa, tamaa, tamaaa
Siku moja nitapata

Yeah
Navuja jasho bado pesa ni nyekundu tu
Mna-window-shopper kwenye duka la maisha ya juu
Mautundu jua usikaripie level kaza full
Usikate tamaa ukaacha uhalisi
Watu hushonea department officially ya jamii
Usizikodi apartment kamjengee mama Jonny
Ukiacha nilipofikia ni kina nani watu wa dunia
Uliposhika shikilia more peace kwa familia za wahanga
Pole mtanzania kaza na usichoke kuzipanga
Ukijituma kupangua kipindi baridi kali na kwa jua tukiungua
Kinachowaumbua ukweli kitaa chote kinaujua
Usikate tamaa iwe nuru kwa kizazi
Hiki, ambacho kweli naogopwa wanasiasa wanapewa ngazi
Chapa kazi, jenga msondo ndio ngoma kwaito ni Sauzi
Kaza na kitu yako mashauzi mwachie Isha
The River Camp kwa maisha na hizi ndo si hulisha

Even though life is harder
Life is harder life, life
Mi sikati tamaa, tamaa, tamaa
Siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata, nimekula, nimeshinda njaa
Mi sikati tamaaa, tamaa, tamaaa
Siku moja nitapata
Even though life is harder
Life is harder life, life
Mi sikati tamaa, tamaa, tamaa
Siku moja nitapata
Sijali siku nimekosa, nimepata, nimekula, nimeshinda njaa
Mi sikati tamaaa, tamaa, tamaaa
Siku moja nitapata

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI